Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu,pc aina ya samsung ukiiwasha inawaka then ikifika sehemu ya ku load windows inazima na kuwaka tena,inazima tena na kuwaka tena yaani inafanya hivyo mwanzo mwisho, na ukijaribu ku repair inaandika attempting repairs tu,windows iliyomo humu ni w8.naombeni msaada hata wa kimawazo,hivi hili tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini? Na solution yake inaweza kuwa nini?