Ninaomba ajira yoyote halali, nina elimu ya Sekondari


pitia haka kaandiko kameorothesha baadhi ya fursa maana ajira siku hz hazina uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu
 
kama upo dar es salaam....kama unaweza kupata cheti cha darasa la saba...cheti cha kuzaliwa...kitambulisho cha nida...pamoja na wadhamini wawili...njoo gardaworld tunapatikana mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi...kazi hii ni ya ulinzi mshahala unaanzia 250k
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom