Ninanunua Mahindi

Brown_Lusinde

Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
6
Reaction score
1
Kama kuna mtu anae uza Mahindi
Tafadhali mwambie ninauhitaji wa Mahindi tani 200 au kama ni ww nipigie 0677647899
Tuweze kufanya Biashara
 

huyo umemuona ingawa bei yake 530/=
Simjui nimeona tangazo tu kwahiyo fanya due dilligence
 
Uko wapi? Bei ya 470 TZS huku nilipo ni moja kati ya maeneo yanayozalisha mahindi kwa wingi hata hivyo ni 480 na serikali inanunua 500.
 
Mungu azidi kuwainua wateja wengi wa mahindi kuwe na ushindani wenye faida wakulima wamelia miaka mingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…