Wewe unazo?Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24. Nicheck kwa 0713302846
Kwa bei hiyo nunua ng'ombe wa kutosha kwa 24millioni chinja toa unachokitaka nyama gawa kama biashara ni rahisi kihivyo....Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24. Nicheck kwa 0713302846
Ata mm sielewi duhKwa bei hiyo nunua ng'ombe wa kutosha kwa 24millioni chinja toa unachokitaka nyama gawa kama biashara ni rahisi kihivyo....
sio kila Ng'ombe wanayo. Pia ni mishe ngumu sio rahis mkuu
Mkuu hakuna biashara hapo fanya vitu vingine...Madini yote yaliyopo yanayoonekana hutaki kununua mnakuja na tolii ya ng'ombe?sio kila Ng'ombe wanayo. Pia ni mishe ngumu sio rahis mkuu
Npe namba zakoMimi nina kama grams 100 za gallstones za binadamu..
Hizi hamchukui??
Sent using Jamii Forums mobile app