Jamani tusifarijiane mwaka huu CCM imekwisha Lowasa anachukua nchi...
Jana nikiwa nimesimama sehemu napitiapitia vichwa Vya habari kwenye magazeti pale posta mpya, alikuja kijana mmoja aliyejionyesha kama ni msomi....basi kuna gazeti moja liliandika Ukawa wakipewa nchi wataigeuza kua Libya "japo sikumbuki vizuri kile kichwa" na lingine liliandika ntaibadilisha Z'bar kuwa kama singapore asema mahalim seif sharif hamad... Sasa yule kijana akaanza kuponde ile ya seif akisema huo ni usanii haiwezekani, alafu akaanza kusifia ile ya magufuli isemayo wakichukua wapinzani nchi itageuka kua "Libya" jamani yule kijana alizomewa galfa na watu wote waliokua pale ailulizwa maswali magumu..
watu wakaanza kamwambia kawaambie waliokutuma, watanzania tumeamua Lowasa raisi wetu...nikasema safi sana watu wameamka. .sasa wewe ni nani upinge kuwa lowasa sio raisi?