My worrys wat if??akisema sikukutegeme utaniambia maneno hayo??unatokea mlango gani??hakuna rangi utaachaona!:A S 2152:
Hapana we badilisha tuuu usilete UTANI na kuishi na mtu ambaye humpendi, KAMA UNAMPENDA MWAMBE TUU!Huyo ni shetani tu amekutawala anataka kuvuruga mahusiano yenu kama dada na kaka. Hebu jaribu kuushinda huo udhaifu. Wazuri ni wengi na wanazaliwa kila siku. Utabadilisha wangapi?
kaka kumbe ni hivyooo du hii MBAYA BWANA, :tape::nono:Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
Unataka tukushauri uzinifu.............loooooooooooooooooooooooooooooooh................sasa kama una wa kwako na yule mwanamama ana wa kwake sasa hizo tamaa za mzee fisi za nini? Greed and envy will destroy your happiness............My advice is STAY AWAY...............
Re: Ninamtaka ila Naogopa!
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
Nipe mie...Jamani mimi nina Demu mmoja nilikutanishwa naye kwenye maswala ya bihashara ila wakati huo nilikuwa na interest na huyo aliye nipeleka Baada ya kukutana na huyo Demu nimzuri biashara ikafanyika na akaonekana ni dada anayejali mimi roho ikawa inawaza!siku zikasogea akaniambia matatizo yake ya yandani tukawa tunatumiana na email za majambozi!Lakini kwa jinsi yunavyoheshimiana naogopa kuharibu uhusiano wetu!nashida yake anashida yangu hadi mzazi wake alipotambulishwa akaona mimi ninajali akaona nirafiki wakweli!ila sasa dada nimzuri acha namtamani kumwambia naona soo!Je nini nifanye ukweli nampenda!nayule aliyenipeleka tunawasiliana lakini mimi moyo umehamia kwa huyu zaidi na vizuri yupo arusha hanitii wasi!Hila huyu!!!:A S 8:
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
Tena huyo preta!!!!Safarii KK huo mshariba mpaka ukonde kama uzi wa kushonea........ jokin ........... we mlie tyming to na tena ushapewa na sifa kibao .......... Ila angalia hawa aki-Petra saa zingine wanaweza kuwa wanawasiliana halafu ukakosa kote ..................<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/lying.gif" border="0" alt="" title="Lying" smilieid="221" class="inlineimg" />
Haha haha...........:smile-big:Tena huyo preta!!!!