Ninampenda sana!

  • Thread starter Thread starter guest-1791802738
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    sana
Jaribu kumuwashia moto wa mchana uone ataipokeaje. Sio lazima usubiri hadi usiku peke yake.
 
Sina ushauri Kwa sababu kama unampenda basi Huna chakufanya a
 
......sorry mkuu kwani keyboard yako mbovu haina 'o' ina zero '0'.....
 
Nimecheka mpka nimepaliwaaa...khaaa sisy nakuuza..
Mwenzako alimaind kuitwa bunyenye ww ndo umepigilia msumari hapo...
Hutaki mchumba nikutafutie utulie??? πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
Ccy wachumba wenyewe hawa ma bunyenye hapana naona unipe mwaka mwingine sitak tena.πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Kitambi cha kufutia simu ndo
kitambi gani?
tuma ka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…