JAY THE SON
Member
- Nov 26, 2017
- 43
- 33
Kwa kipindi kirefu nimekua nikifatilia kwa ukaribu sana namna ambavyo Mkuu Wa mkoa Wa dar alivyo mbunifu jasiri na mthubutu katika kuuletea mkoa maendeleo na kujali RAIA Wa mkoa hasa wanyonge nikiri wazi kuwa mkoa na TANZANIA imechelewa sana kupata aina ya viongozi Wa namna hii na hapa ndipo najifunza ya kuwa ni vigumu kuona MCHANGO na thamani ya viongozi hadi pale wanapokua hawapo
Mhe PAUL MAKONDA ameitwa majina mengi lakini haya yote yamezidi kumpa nguvu ya kutenda Kazi TENA kututumikia Sie ambao tunatumia muda mwingi kumbeza na kujifanya vipofu tusiiona anayoyafanya kiongozi wetu huyu
Mhe huyu amefanya mengi mazuri sote ni mashahidi pamoja na kuwa kama binadamu kuna mapungufu lakini itoshe kutambua na kuthamini MCHANGO Wa Kijana mwenzetu jasiri na anayesimamia kile anachokiamini
Ni wakati Wa wakazi Wa mji huu kutambua na kuthamini juhudi za kiongozi huyu na hakika alichokikusudia kwetu tutakiona sina shaka kuwa na kiongozi anayetumia muda wake mwingi kufikiria awafanyie nin wakazi ili kuwaweka katika mazingira bora na salama
Mhe PAUL MAKONDA nakua Kijana Wa kwanza kwa dhati ya moyo kutambua na kuthamini MCHANGO wako Wa HESHIMA na utu kwetu wakazi tusipotambua leo yupo mungu na atakulipa sawasawa na juhudi zako