mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Asante mkuuHuyu ni kama wenzie wengi anaoa ili apate mtu wa kumpikia na kumfulia nguo.
Na ile fashion kwamba wenzangu wa umri wangu wote wameshaoa.
Sio rahisi ukaoa/ukaolewa na mtu unayempenda halafu baada ya miaka miwili ukamchukia completely.
Pamoja na kero nyingi za wenza wetu lakini penzi kufa kabisa sio rahisi kwa muda mfupi hivyo.
Huyu karogwa na mchepuko, au ushamba wake tu hajui kuhandle michepuko anazama mzima mzima bila kufikiria madhara yake.
Mwambie sasa achukue huyo mchepuko awe mke wake utaona anarudi baada ya miaka miwili atakwambia afadhali ya mke wake aliyemwacha na anataka kumrudia.
Mapenzi haya nyoko sana.
Nyeto napiga na ninachepuka sipendi kufanya hivyo ila yeye ndo anasababishaUsipige nyeto wala kuchepuka kama una mwanamke uliyezaa nae. Utamchuki utamchukia utamchukia tena. Haswa akiwa too demanding.
n suluhisho la kudumuKutokuooa sio suluhisho
So muafaka mzuri uko wapi hapoUache upumbavu, at some stage kila ndoa upendo unaisha, unachagua penda mke sababu:
1. Una watoto.
2. Mmeshaishi pamoja.
3. Hutaki kuhangaika.
Asikudanganye mfu, kuna wakati kila ndoa upendo unaisha kabisa, lakini unachagua kumpenda bil sababu kwa ajili ya mazingira.
Nenda basi kaishi na hao unaoona wanafaa, ukiisha endelea kutafuta wengine....
Huwezi mpenda tena. Jirudi kwanzaNyeto napiga na ninachepuka sipendi kufanya hivyo ila yeye ndo anasababisha
Hakuweza kunionyesha upande wa mwanzoUnataka kutuambia hayo yote hukuyagundua ndani ya miaka miwili? Tumeskia upande mmoja, vipi kuhusu wewe ni mkamilifu asilimia zote? Na je ushawahi kukaa nae na kumueleza hayo uliyoyaandika hapa? Mna mtoto tayari jitahidi muyamalize mlee mtoto wenu wote wawili.