Ninajikuta namchukia mke wangu

Hoja namba 3 ni muhimu sana, wanawake wa hivyo wanakera sana, yani jambo la kawaida ila ataishi km kafiwa na ukoo wake wote, na ukimuelewesha ataona hujali matatizo yake, niliwahi kukutana na wahivyo, nilikimbiaa mbio
 


Haya ulitakiwa uyajue kabla ujamuoa, hata hao wengine ukiwaleta nyumbani hautawafurahia.

Jifunze kuchagua kupenda mwanamke bila sababu, maana kuna wakati hutakuwa na sababu.

Imeputa hiyo, huyo ni wa kwako, huna namna tena zaidi ya kuvumilia kuishi naye.
 
Ulimuoa kwa tamaa tu au kwakulazimishwa. Ila chakwanza jiulize ulimuoa kwa malengo gani?
Huyu ni kama wenzie wengi anaoa ili apate mtu wa kumpikia na kumfulia nguo.
Na ile fashion kwamba wenzangu wa umri wangu wote wameshaoa.

Sio rahisi ukaoa/ukaolewa na mtu unayempenda halafu baada ya miaka miwili ukamchukia completely.
Pamoja na kero nyingi za wenza wetu lakini penzi kufa kabisa sio rahisi kwa muda mfupi hivyo.

Huyu karogwa na mchepuko, au ushamba wake tu hajui kuhandle michepuko anazama mzima mzima bila kufikiria madhara yake.

Mwambie sasa achukue huyo mchepuko awe mke wake utaona anarudi baada ya miaka miwili atakwambia afadhali ya mke wake aliyemwacha na anataka kumrudia.

Mapenzi haya nyoko sana.
 
Hamna anayependa bila sababu, labda Mungu pekeyake.
 
Hamna anayependa bila sababu, labda Mungu pekeyake.

Uache upumbavu, at some stage kila ndoa upendo unaisha, unachagua penda mke sababu:

1. Una watoto.
2. Mmeshaishi pamoja.
3. Hutaki kuhangaika.

Asikudanganye mfu, kuna wakati kila ndoa upendo unaisha kabisa, lakini unachagua kumpenda bil sababu kwa ajili ya mazingira.

Nenda basi kaishi na hao unaoona wanafaa, ukiisha endelea kutafuta wengine....
 
Sijui kipi kilicho kufanya unitukane ila hamna shida. Ulipoongelea at that point ulichokisema umechagua kusurvive nasio kuishi. Upendo is never a last option kama ni last option basi ni survival kwasababu ya majukumu but not living.
 
Kwa niaba ya Wake wote tunakuombea uingie peponi bila hesabu.
 
Mpige chini chap!
 
Akili kubwa sana hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…