Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Na atasemaππBado hujasema
Na atasema sanaNa atasemaππ
Yani mpaka asemeππππNa atasema sana
Bado hajasema mpaka aseme ππππBado hujasema
Ukiamka ile alfajiri Kinga mkojo wako unywe mzee kwa siri sana Baada ya siku Tatu utapata majibu.Habari.
Mimi hata sielewi nimejikuta namchukia mke wangu.
Nashindwa kuelewa hali hii inasababishwa na nini?
Ukishapata mchepuko ndio basi tena Kwa mke wako, hata Mimi kimepita kipindi hapo nyuma nilipewa mapenzi motomoto na mchepuko aaah mbona mke wangu nilimchukia ghafla, lakini nikwambie tu kuwa ukishajua Nani ni zaidi ya na ukitazama umuhimu wa mke basi hizo chuki zitaisha.
Kingine punguza mapenzi kwa mchepuko na wekeza ndani jitihada zode unazowekeza nje, maana ndani ndio msingi wako.
Mke ni mke tu kamwe mchepuko hauwezi mzidi mke.
Hajasema tu bado ππYani mpaka asemeππππ