Nimeku pm mkuuNinavyo vingi sana hata sijui ntakutumiaje. Ila ingia torrents utapata vingi na itakuwa new edition
JavaFX ni framework inayotumika kutengeneza GUI kupitia Java. JavaFX inaiReplace Java SWING ambayo pia ilikuwa inatengeneza GUI.Vipi java fx je??
NimekujibuNimeku pm mkuu
Kuna kitu unabidi uwe nacho kichwaniKiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome vipi ili niwe mzuri kwenye java?
Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?
ushauri nnao weza kukupa ni kwamba, kama hujaanza JS basi acha kwanza kuisoma, then u practize css na html mpaka zika kichwani sawia! au kama umeanza JS basi endelea nayo lakini pia usiache kuzifanyia mazoezi html na css!!Nimesoma HTML na CSS saivi najifunza JavaScript je njia gani nzuri itanisaidia kimaster hii language pamoja na vitabu?
How can you correct something you don't know?Kuna kitu unabidi uwe nacho kichwani
To be a programmer you don't have to know each and every thing used in a certain programming language
You just take time to correct errors
Soma vizuri nashindwa nikujibu nini sababu ume quote baadhi ya maneno, ungetuliza kichwa ungenielewaHow can you correct something you don't know?
Nimesoma HTML na CSS saivi najifunza JavaScript je njia gani nzuri itanisaidia kimaster hii language pamoja na vitabu?
je ni vitabu vizurChanganya video na vitabu