Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,282
Unauza sh ngapi mkuu solar na pannel yakeNjoo nikuuzie Sola ya Kampuni ya Mobisol Watt 200 kwa bei karibu na bure(Panel na Betri yake),kisha utaitumia kwa kazi hiyo ya kuvuta maji kisimani kwako
45,000 vyote kwa pamojaUnauza sh ngapi mkuu solar na pannel yake
sent from HUAWEI
Inategemea unataka ya Watt ngapi,kama ni Watt 120(Betri na Panel nauza Laki 550,000),kama ni Watt 200(Betri na Panel nauza 1,000,000),vyote ni vipyaUnauza sh ngapi mkuu solar na pannel yake
sent from HUAWEI
Zipo mkuu na kupmWakuu Habari za Jioni.
Ninahitaji solar water pump ya kuvuta maji kisimani. Kisima kina urefu wa mita 15
Eneo la shamba ni ekari moja Liko Kilimanjaro.
Mkuu HaifungukiZipo mkuu na kupm
Mkuu Haifunguki
Ningine hii hapa Solar pump multipurposeWakuu Habari za Jioni.
Ninahitaji solar water pump ya kuvuta maji kisimani. Kisima kina urefu wa mita 15
Eneo la shamba ni ekari moja Liko Kilimanjaro.