nipo dar kwa sasa mkuu.upo wapi ?
nipo dar kwa sasa mkuu.uko mkoa gani mkuu
nipo dar kwa sasa mkuu.uko mkoa gani mkuu
anajamvi nahitaji shamba la kukodi lenye ukubwa wa heka 1 nianze kilimo cha tikiti maji.
eneo liwe na maji na usafiri uwe unafika vizuri.
liko wapi mkuu?Nina ekari 6 nakodisha 1k kwa ekari 1.
liko wapi mkuu?
uwakika wa maji upo hili ndilo la msingiRuvu station, ukifika mlandizi unafuata njia ya kushoto kama waelekea mzenga.
nipe no yakoMaji yapo tena ad lib
Siwezi kupata mashamba ya kununua huko mkuuRuvu station, ukifika mlandizi unafuata njia ya kushoto kama waelekea mzenga.
Kibiti kuna maeneo ya kumwaga mkuu!!
Uiandae familia psychologically.Karibia na ikwiriri,vipi kuna na ofisi ya ccm?nataka nigombee uenyekiti.
Mhhhhhhhhhh kwa style za mwingine apigwa risasi mchana huu nani aende?Kibiti kuna maeneo ya kumwaga mkuu!!