M Melodia Member Joined Jun 22, 2012 Posts 8 Reaction score 11 Sep 8, 2019 #1 Habari Wana Jf, Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi; - Mkristo -Miaka 31 -nina mtoto mmoja -Degree moja -muwazi na muelewa Ninayemuhutaji -awe Mkristo -mwenye nia ya dhati ya kujenga familia -Awe muwazi -umri kuanzia 35-45 Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
Habari Wana Jf, Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi; - Mkristo -Miaka 31 -nina mtoto mmoja -Degree moja -muwazi na muelewa Ninayemuhutaji -awe Mkristo -mwenye nia ya dhati ya kujenga familia -Awe muwazi -umri kuanzia 35-45 Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 5,186 Reaction score 6,865 Sep 8, 2019 #2 Hivi nawashangaa sana! Mnatafuta wenza wakati PM mnazifunga hii ni nini? Hata hii kitu niliiona kwa mkongwe kama Atoto . Mnatania tu au mpo serious?
Hivi nawashangaa sana! Mnatafuta wenza wakati PM mnazifunga hii ni nini? Hata hii kitu niliiona kwa mkongwe kama Atoto . Mnatania tu au mpo serious?
timeline JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 458 Reaction score 2,432 Sep 9, 2019 #3 All the best
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,457 Sep 9, 2019 #4 Kwanini hamtafuti waume wa kuwaoa mnapokuwa na umri kati ya 18 na 21?
Neggredo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 579 Reaction score 678 Sep 9, 2019 #5 Unafanya kaz gan
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 9, 2019 #6 Umri Umenikosesha Jiko
Jeceel JF-Expert Member Joined Feb 6, 2018 Posts 1,476 Reaction score 3,112 Sep 9, 2019 #7 Utapata kuwa mvumilivu bibie
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,684 Sep 9, 2019 #8 Dini hizi nmekosa mke wallahi
Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,387 Sep 9, 2019 #9 Umri umenikosesha wife material!
Mungu ibarik JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,376 Reaction score 11,520 Sep 9, 2019 #10 Piga 0718 186148 karibu najisikie uko nyumbani.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,755 Reaction score 118,735 Sep 9, 2019 #11 Awamu hii naona wazee tumekumbukwa! Haya ufanye kunitafuta mwenyewe kabla sijakutafuta. Ila ujiandae tu kuwa bi mdogo! Kwa huu umri wangu ni ngumu sana kuishi bila mke.
Awamu hii naona wazee tumekumbukwa! Haya ufanye kunitafuta mwenyewe kabla sijakutafuta. Ila ujiandae tu kuwa bi mdogo! Kwa huu umri wangu ni ngumu sana kuishi bila mke.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,990 Sep 9, 2019 #12 Uzi umekamilika kila idara kosa ni moja tu ID hii ilifunguliwa kama back up ya ID OG.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Sep 9, 2019 #13 Bonny said: Uzi umekamilika kila idara kosa ni moja tu ID hii ilifunguliwa kama back up ya ID OG. Click to expand... Member since 2012 ana message 1 tu!!ππ
Bonny said: Uzi umekamilika kila idara kosa ni moja tu ID hii ilifunguliwa kama back up ya ID OG. Click to expand... Member since 2012 ana message 1 tu!!ππ
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Sep 9, 2019 #14 Nipe miaka 10 nitakua nimefikisha umri unaohitaji mkuu, tutafunga ndoa.
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Sep 9, 2019 #15 STATUS VEEEPE!!!
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,990 Sep 9, 2019 #16 joanah said: Member since 2012 ana message 1 tu!! Click to expand... Na ndio hapo nimejua hii ID ni backup
joanah said: Member since 2012 ana message 1 tu!! Click to expand... Na ndio hapo nimejua hii ID ni backup
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Sep 9, 2019 #17 Unanisingizia. njinjo said: Hivi nawashangaa sana! Mnatafuta wenza wakati PM mnazifunga hii ni nini? Hata hii kitu niliiona kwa mkongwe kama Atoto . Mnatania tu au mpo serious? Click to expand...
Unanisingizia. njinjo said: Hivi nawashangaa sana! Mnatafuta wenza wakati PM mnazifunga hii ni nini? Hata hii kitu niliiona kwa mkongwe kama Atoto . Mnatania tu au mpo serious? Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Sep 9, 2019 #18 Muda wa kula bata huo. No retreat no surrender said: Kwanini hamtafuti waume wa kuwaoa mnapokuwa na umri kati ya 18 na 21? Click to expand...
Muda wa kula bata huo. No retreat no surrender said: Kwanini hamtafuti waume wa kuwaoa mnapokuwa na umri kati ya 18 na 21? Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Sep 9, 2019 #19 Mkongwe kuliko wewe. joanah said: Member since 2012 ana message 1 tu!! Click to expand...
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Sep 9, 2019 #20 Atoto said: Mkongwe kuliko wewe. Click to expand... ππππ kwa kweli manake hiyo 2012 hata naniliu ilikuwa bado ninayo πππ
Atoto said: Mkongwe kuliko wewe. Click to expand... ππππ kwa kweli manake hiyo 2012 hata naniliu ilikuwa bado ninayo πππ