captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 627
Ushawahi kupata shida mkuu.?Mkuu huwezi ainisha vitu vyengine vya kuweka dhamana? Hivi ulivyoweka hapa ni lawama. Vikipotea je. Vikiliwa na panya je. Vikilowa na mvua je. Vikichanika je. Kwa sh laki tatu hii ni lawama kubwa
Asante boss..Hivyo vyeti vingekuwa na thamani hata ya laki tu, ungekuta visha kusadia.
Namansha kua unatoa wap pesa una biashara au kaz?Tarehe 22 Mwezi Wa 12 Nitakuwa nimesharudisha mkuu..
Riba 50,000 yani nitarudisha 400,000/=..
Asante mkuu lakini sitaweza vileta huko.Duh... pole sana mkuu...
Sasa kama nikiamua kukukopesha hivyo vyeti vyako unaweza kuniletea huku Tandahimba?
Ni shida tu mkuu..Pole sana lakini approach uliyotumia siyo 350 kwa vyeti kama collateral ? unfair trade
Maana yangu ni nn..elimu ya bongo ingekuwa na manufaa na thamani, vyeti navyo vingekuwa na thamani.Asante boss..
Dar es salaam.Uko.wapi?
Lengo langu lilikuwa kukusaidia...Asante mkuu lakini sitaweza vileta huko.
Asante mkuu..Pole sana mkuu