Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,055 Reaction score 1,024 Apr 2, 2013 #1 Ndugu zangu nahitaji mini laptop ya bei rahisi kabisa itafika shilingi ngapi?
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Apr 2, 2013 #2 hiyo hela ushauri ununue tablet
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,055 Reaction score 1,024 Apr 2, 2013 Thread starter #3 Mndengereko said: hiyo hela ushauri ununue tablet Click to expand... Hiyo tablet ni shilingi ngapi
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Apr 2, 2013 #4 Hakikwanza said: Hiyo tablet ni shilingi ngapi Click to expand... inategemea unataka inayorrun os gani lakini pia inategemea ni kampuni gani(manufacturer) zaidi ya yote bei inategemea kama unataka used au mpya
Hakikwanza said: Hiyo tablet ni shilingi ngapi Click to expand... inategemea unataka inayorrun os gani lakini pia inategemea ni kampuni gani(manufacturer) zaidi ya yote bei inategemea kama unataka used au mpya
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Apr 2, 2013 #5 kwa haraka haraka tablet mpya zinaanzia dola 200 lakini hizi nyingi zinakuwa hazingii line so itakubidi utumie wirelees lakini ukitaka zinazoingia line kwa uelewa wangu niyingi zinaanzia dola 300
kwa haraka haraka tablet mpya zinaanzia dola 200 lakini hizi nyingi zinakuwa hazingii line so itakubidi utumie wirelees lakini ukitaka zinazoingia line kwa uelewa wangu niyingi zinaanzia dola 300