David Allene
Member
- Jan 7, 2016
- 50
- 58
hio dollar 2000 ni afadhali kiasi bro kuna kampuni ya India niliongea nao wanasema wanaanzia dollar 10000 nikawaza huenda ikawa Bora kama nitapata developers wa hapahapa TzNdugu Mimi Ninanyo Fintech ni website (bado ipo kwenye development namalizia mambo madogo), Ila Nime Target sana kwenye Virtual Card Kuliko Mambo Mengine, ndio ambacho nikanipa mawazo, Kama unahitaji Application Unahitaji Bajeti kubwa sana maana hata mimi nilitafuta ila nakutaja na bei za kuanzia $2000
sasa ndugu wapi nimeuliza nikajijibu?Unajiuliza na kujijibu mwenyewe...
Ngoja waje kukupa muongozo...
hahahahahaUnajiuliza na kujijibu mwenyewe...
Cost ya software development inategemea factors nyingihio dollar 2000 ni afadhali kiasi bro kuna kampuni ya India niliongea nao wanasema wanaanzia dollar 10000 nikawaza huenda ikawa Bora kama nitapata developers wa hapahapa Tz
User story au Features
Targeted Platform, je unataka i run kwenye web au mobile apps
Location ya developer husika, the same project ambayo indian devs wamekutajia, inaweza ikawa mara 2 au 3 ya cost ambayo Us devs atakutajia hata kama dev skills ni zile zile
Yaani atengeneze his own competition?Kuna jamaa nafahamiana nae CEO wa Tunzaa fintech anatengeneza hizo ndude kwa startups
shukrani mkuu nitakuchekMinimum budget, andaa 5M
kiasi kinaweza ongezeka kulingana na complexity ya project
Project ya namna hio,huwa zinafanywa na Team sio mtu
Nicheck kama bado hujapata developers
0748333586
nawafaham tunza nishafatilia project yao sikujua. I'll inbox u tuone kama atakua helpful[emoji120][emoji120]Kuna jamaa nafahamiana nae CEO wa Tunzaa fintech anatengeneza hizo ndude kwa startups
ππYaani atengeneze his own competition?
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]