yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,917 Reaction score 4,170 Jan 26, 2022 #1 Wakuu mwenye kiti cha kukunja cha dizaini kama hii, nakihitaji. View attachment 2096102
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,407 Reaction score 77,296 Jan 26, 2022 #2 Kutiana majaribuni tu nikagombane na bosi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Jan 26, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Jan 26, 2022 #4 Umenifanya nikumbuke kwenye mieleka jinsi wale jamaa wanavyokuwa wanachapana na hivyo viti...
JAMBONIA LTD JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 584 Reaction score 276 Jan 26, 2022 #5 Cheki uzi wa anayeuza fenicha za saluni yake ya kike anacho kama hicho anauza hapo chini