Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Aug 20, 2012 #1 Wazee kama yeyote anafahamu blog ya manasse anipe link ninahitaji kudownload dictionary itakayo endanda na simu,popote au vyovyote unaweza kunisaidia lengo ni kupata dictionary.
Wazee kama yeyote anafahamu blog ya manasse anipe link ninahitaji kudownload dictionary itakayo endanda na simu,popote au vyovyote unaweza kunisaidia lengo ni kupata dictionary.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,277 Reaction score 44,413 Aug 20, 2012 #2 website ya manase hii hapa ::BONGO MUZIKI:: Na dictionary itabidi useme aina ya simu kwanza
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Aug 20, 2012 Thread starter #3 chief-mkwawa said: website ya manase hii hapa ::BONGO MUZIKI:: Na dictionary itabidi useme aina ya simu kwanza Click to expand... asante mkubwa.ni nokia 3120c.
chief-mkwawa said: website ya manase hii hapa ::BONGO MUZIKI:: Na dictionary itabidi useme aina ya simu kwanza Click to expand... asante mkubwa.ni nokia 3120c.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,277 Reaction score 44,413 Aug 20, 2012 #4 link ya dictionary hio hapo http://jdictionary-mobile.com/downloads/s60/AED_S60.jar Ni 6.8 mb so jipange vema tumia ucweb hio ndo best dictionary na pia kuna uwezekano ikatae Registration: (no GPRS needed) Name:hackme112@yahoo.co.uk Serial:RNC-NHQ-D67-3ZX
link ya dictionary hio hapo http://jdictionary-mobile.com/downloads/s60/AED_S60.jar Ni 6.8 mb so jipange vema tumia ucweb hio ndo best dictionary na pia kuna uwezekano ikatae Registration: (no GPRS needed) Name:hackme112@yahoo.co.uk Serial:RNC-NHQ-D67-3ZX
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Aug 20, 2012 #5 Mi simu yangu ni nokia 5800, nahitaji biblia ya kiswahili na kamusi. Nitazipata wapi? Thanx in advance, Chief.
Mi simu yangu ni nokia 5800, nahitaji biblia ya kiswahili na kamusi. Nitazipata wapi? Thanx in advance, Chief.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,277 Reaction score 44,413 Aug 20, 2012 #6 Joshamto said: Mi simu yangu ni nokia 5800, nahitaji biblia ya kiswahili na kamusi. Nitazipata wapi? Thanx in advance, Chief. Click to expand... Jaribu kusearch ovi kaka ila sjawahi skia kamusi ila nimeona english to swahili na swahili to english dictionary Link ya ovi http://ovi.mobi
Joshamto said: Mi simu yangu ni nokia 5800, nahitaji biblia ya kiswahili na kamusi. Nitazipata wapi? Thanx in advance, Chief. Click to expand... Jaribu kusearch ovi kaka ila sjawahi skia kamusi ila nimeona english to swahili na swahili to english dictionary Link ya ovi http://ovi.mobi
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Sep 6, 2012 Thread starter #7 chief-mkwawa said: Jaribu kusearch ovi kaka ila sjawahi skia kamusi ila nimeona english to swahili na swahili to english dictionary Link ya ovi http://ovi.mobi Click to expand... hiyo link ni kwa nokia zote?
chief-mkwawa said: Jaribu kusearch ovi kaka ila sjawahi skia kamusi ila nimeona english to swahili na swahili to english dictionary Link ya ovi http://ovi.mobi Click to expand... hiyo link ni kwa nokia zote?