imani inayojengeka sasa hivi ni kwamba kama huna mashine kubwa basi utafute hela, ila hawajui kuwa hapohapo wameshajenga maana nyingine kwamba kama una mashine kubwa basi hela utatafutiwa na wanawake.
ila pia wanasahau mwanamke anachoka kumuhudumia mwanaume, itafikia pahala atachoka kukuhudumia hata kama una dudu kama chupa ya dawa ya mbu.
mimi nakumbusha tu kuwa jukumu la kutafuta pesa ni la kila mwanaume. tusijengeane fikira potofu na kupandikizana roho za uvivu. mke na watoto wanahitaji kula chakula sio mboo.
Sent using
Jamii Forums mobile app