Ninafundisha Programming , Website and Database

Unatumia muda gani kwa mfano kufundisha mysql?
(Ana kwa ana)
Kwa kuwa unafanya kazi , uakutana na wanafunzi SAA ngapi?
Mkuu, Muda wa kusoma ni 2 to 3 weeks(maximum),kutegemeana na course.
Kuhusu muda wa kukutana, Ninakutana na wanafunzi Jioni
 
Nikategemea kuona bei ya kila language kama ulivyo sema
 
Java unatumia framework gani?
 
Ghalama sh ngapi mkuu,nahitaji kupata hiyo knowledge mkuu,maana nataka ku chakata formula zangu za bettings.
 
Ghalama sh ngapi mkuu,nahitaji kupata hiyo knowledge mkuu,maana nataka ku chakata formula zangu za bettings.
Nimekutumia bei na gharama za kila language inbox
 
napenda kujifunza database niwe nondo na kufanya practical vizuri so nahitaji kusoma nn kati ya hizo?
 
Mkuu mtu akihitaji kufundishwa adobe suite anione
 
Uhakika wa kuelewa kwa mtu asiyejua code kabisa ni %ngapi kulingana na kipaji chako cha ufundishaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…