kwa web mostly natumia templates zilizotayari kama wordpress,joomla,modx etc,but for web applications nilizotengeneza nanza mwanzo kabisa.
Anzisha Uzi wako ili utangaze mambo yako Vizuri kama na huyu mtoa mada alivyofanya. Kuvamia Uzi wa tangazo la mtu na kupachika matangazo yako ni USHAMBA.sio wizi wala utapeli ,hujui mana ya open source mzee..pia hujui template ni nn
uko wapi huko?Natamani sana kusoma hizi vitu ila niliko hakuna wataalam
SAWA MAMAAnzisha Uzi wako ili utangaze mambo yako Vizuri kama na huyu mtoa mada alivyofanya. Kuvamia Uzi wa tangazo la mtu na kupachika matangazo yako ni USHAMBA.
Ujumbe UmefikaSAW
SAWA MAMA
Natamani kuwa hacker japo hata kidogo tu ila sijuagi kabisa habari za IT
Okey boss lakin angalizo jingine mimi sijui chochote kuhusu IT tofauti na kutumia computer kwa matumiz ya kawaida tu.Nicheki Inbox, nafanya Network Audits...Hacking ni part ya kazi zangu,
mwenye interest na hacking anione..
angalizo: i'll just teach and instruct..you do it at your own risk, pia mpango wa kuonana face to face sahau..labda baada ya kujiridhisha sana...
instruction ya kwanza bure.
Kwa kuwa unavipenda utavifanyaHivi navitamanigi ila nahisigi ni vigumu tu
Wapi ? Nijibu basi