Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 130
- 151
gua uzi wako ueleze hizo kazi zako kuvamia uzi wa watu na kuweka tangazo lako ni ushambami pia nafanya hizo training na sample website project zangu ni, www.must.ac.tz , www.mimimjasiriamali.com , www.wamicollege.ac.tz ,.
if interested check me:0713449245 (available in DSM)
Unaweza kutengeneza app kama ya muungwana blog? Nahitaji atakayenitengenezea app ya blog yangu, kama unaweza ni pm bei ya kufanya hiyo kazi, playstore account ntailipia mimi.Mkuu mwaminifuhalisi, huyo jamaa aliyeweka hizo websites za template SIO MIMI MUANZISHA UZI.
Ni mdau mwingine aliyevamia Uzi wangu na kuanza kutangaza mambo yake.
Mimi situmii templates, I'm a Coder....and I do it from Scratch na ninamfundisha mtu kuandika Code from Scratch.
Naomba hilo lieleweke mkuu.
Nashukuru kwa hilo kingine sina utaalamu wowote wa computer japo vitu vidogo vidogo navijuaMkuu South, Ninafundisha pia hata kwa walioko mbali/mikoani.
Hakuna linaloshindikana.
Kwa wewe ambaye upo mbali,utaratibu ni kama ifuatavyo:
(a) Nitarecord vizuri kabisa somo husika na nitakuwa nakutumia video clips za kila topic kwenye email yako.
(b) Nitakuelekeza kwa kutumika Simu au Video call popote utakapokuwa hujaelewa vizuri.
(c)Nitakuasist mahali popote utakapohitaji msaada throughout the course
Ninaamini tutaenda vizuri mwanzo mpaka mwisho wa course yetu.
Ninakukaribisha
Nicheki kwenye 0718 392735 au 0787 130836 tuongee na nikushauri pia.Nashukuru kwa hilo kingine sina utaalamu wowote wa computer japo vitu vidogo vidogo navijua
KAMA MIMI MKUUNataka kuwa hacker sijui unaweza nisaidia kufikia malengo yangu Mkuu?
Wewe ni hacker au unatamani kuwa kuwa hacker?KAMA MIMI MKUU
Mkuu Sijuti, kwa sasa hivi sitengenezi Apps. Ila Ndani ya Miezi miwili kuanzia sasa nitatengeneza Android Apps na nitaziweka humu watu wazione(snaps pamoja na jina zitakazokuwa zinatumia kwenye playstore).Unaweza kutengeneza app kama ya muungwana blog? Nahitaji atakayenitengenezea app ya blog yangu, kama unaweza ni pm bei ya kufanya hiyo kazi, playstore account ntailipia mimi.
Natamani kuwa hacker japo hata kidogo tu ila sijuagi kabisa habari za ITWewe ni hacker au unatamani kuwa kuwa hacker?
Ngoja aje mkuuNatamani kuwa hacker japo hata kidogo tu ila sijuagi kabisa habari za IT
sifa ni zipi!Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.
Ninafundisha MTU mmoja mmoja au group la watu mambo yafuatayo:
Computer Programming: Java, Python, Php, C,C++,Visual Basic
Web Development: Php,JavaScript, HTML ,CSS
Database: Mysql, SQL,MongoDB
Cms:Joomla,WordPress, Blog
Kwa lugha rahisi nitakufundisha:
(a) Kutengeneza Web Applications
(b) Kutengeneza Software
(c) Kutengeneza Website na Blog
Mambo yote yanafanyika KIVITENDO,PRACTICALLY Kabisa ukishuhudia.
Mazingira ya Kujifunzia Yapo tayari,Computer Zipo za kutosha Na hata ukihitaji nikufuate ulipo nitafanya hivyo.
Bei ni Rahisi na ni maelewano kutokana na unachotaka kusoma. Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836
Tuwasiliane na Karibuni tupige Code.
Sawa mkuu ntakucheki nimechukua nambaNicheki kwenye 0718 392735 au 0787 130836 tuongee na nikushauri pia.
Nipe namba yako mkuu nikupigie,au nicheki kwenye 0718 392735 au 0787 130836Nipo interested na database.
0767102102Nipe namba yako mkuu nikupigie,au nicheki kwenye 0718 392735 au 0787 130836
Wewe ni hacker au unatamani kuwa kuwa hacker?
kwa web mostly natumia templates zilizotayari kama wordpress,joomla,modx etc,but for web applications nilizotengeneza nanza mwanzo kabisa.Unatumia templates, au unaunda mwenyewe from the scratch. nimeona hapa ni kama umetumia templates za watu za wordpress.
sio wizi wala utapeli ,hujui mana ya open source mzee..pia hujui template ni nnKama anatumia template huo ni utapeli Wa waziwazi.