Shibalanga
Senior Member
- Mar 1, 2011
- 178
- 93
Ndugu zangu Mimi ni mkulima na mfugaji ninatafuta soko la kondoo popote Tanzania naweza kuuza hata kondoo 100 kwa Mara moja. Karibuni tuwasiliane kwa yeyote mwenye kuhitaji au kujua wapi soko lilipo, Niko morogoro.