Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

Kuna jamaa yake mwingine ambaye ana mpenda kwa dhati na wana ahadi ya kuona..so kwako anapunguza genye tu Mkuu. Usiforce itakukost Mkuu
 
Mkuu naona kwenye kikao kilichopta hukuwepo, anyway ngoja nkupe mrejesho, mwanaume usiwe mwepes wa kuonyesha Nia ya kuoa, yeye akuulize unataka kunioa au kunichezea ??. Bt hapo huyo dada anakuchezea.
 
hivi wanaotoa solutions kama “mpe mimba” kwani mwisho wa siku anayeibeba hiyo mimba ni nani? Si mpak aamue kuibeba kama hajaamua je?
 
Advice from the experience,
Huyo ana mtu ambaye ana malengo naye tayari na anakuja kwako kwa ajiri ya kupata sex tu.
Endelea kutumia lakini tafuta mwingine huyo siyo wako.
Au bado hujatimiza vigezo vyake vingine zaid ya hiyo sex ambayo ndo imemuweka kwako.
Ukimpa moyo utakuja kulia vizur sana tu. Huyo ana mtu.
 
Pole mkuu huenda ana mume yuko mbali ila kwako yupo tu ili umpoze injini.
Vuta subira mchunguze vzr utajua tu nn sababu
 
naomba nmba yake ili nimkanye anapokosea yeye na pia niendeleee kuweka mkazo aelewe nia yako!..
 
Pole sana...

Hataki chochote, she is just not ready yet... expectations zako sii sawa na zake...

Kwa lugha ya kueleweka ni she likes you, but doesn't love you enough yet...


Cc: mahondaw
 
Piga mimba Huyo afu ,,,,,mlaghai ,,,,
AF uone atakataa kuolewa ama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…