Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,470
- Thread starter
-
- #61
Ahsante sanaBasi jipe Muda huku unazidisha caring 'wanawake wanapenda sana zawadi - ubunifu wa Kati wa sex -being romantic. Na ma -sapraizi mbali mbali. .then act like a gentleman .
Mkuu nimejaribu kumdadisi na kuongea naye lkn ameniambia hana mtu mwingine, hata ushahidi wa kimazingira nao unanoneaha kabisa kwamba hayupo, na hata kama yupo basi ni kwa wiziGeeeezzz! ! Huyo ana hesabu zake na mtu mwingine mkuu -- don't waste your time
Mkuu miezi tisa haitoshi kutangaza nia?Tatzo ana haraka sana kama mtu anayeogea nje
Inaweza kuwa, na kama zipo basi zinavumilika maana kama miezi tisa sijaona tatizo lolote, basi matatizo yake yanavumilikaAtakua sio mkamilifu ila wewe bado kipofu kuelewa hilo..pambana utajamshukuru..
Mkuu show anaikubali, yeye mwenyewe anpiga salutibado hujamfisha blaza.....wacha haraka piga mbunye hiyooo....bado hujakung'uta vema......akifika utaona....
Mkuu mpaka natangaza ndoa nimejiridhisha pasi na shaka kwamba anafaa kuwa mke haswaAliyezowea kudanga kuolewa hawezi!
Au ana ukimwi nn
Kuna wanawake ambao wana ndoa za mizimu hivyo ktk ulimwengu wetu hawaruhusiwi kuolewa. Nilishawahi kusimuliwana na mhusika kabisa japo alirest in peace ila alinifungua mengi sana ya huko ulimwengu mwingine. Hivyo ukilazimisha saaana anaweza kukubali ila utajuta hadi siku una RIP.Inaweza kuwa, na kama zipo basi zinavumilika maana kama miezi tisa sijaona tatizo lolote, basi matatizo yake yanavumilika
msanii huyooo...kuna kitu bado hujafikia.....pambanaMkuu show anaikubali, yeye mwenyewe anpiga saluti
Mkuu,you don't have a problem,she has,and until you see her doing stuff you couldn't have imagined,you will see her as an Angel.Believe me still water Runs Deep.!!!!Think Think Think Tashwishi!!!Mkuu mpaka natangaza ndoa nimejiridhisha pasi na shaka kwamba anafaa kuwa mke haswa