Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

We jamaa ni Nanga kwenye Mapenzi. Unamfuata mwanamke direct unasema unataka kumuoa
 
Kuna binti mtaani Nampenda na *hata yeye anajua Hilo* hapo ndo ulipofeli kabla sijamaliza kusoma uzi.
 
Mwili upo radhi na wewe lakini moyo wake hauna amani juu yako! Tena huyo dada ni mkweli sana anajaribu kukupenda lakini ndiyo hivyo tena roho yake haikutaki.
 
Kuna Urafiki uchumba then Ndoa. Sasa jamaa anaskip step zote hizo yeye anataka ndoa. Hata huyo mwanamke lazima atamshangaa. Ndoa sio ki rahisi na ghafla hivyo
Anatakiwa amwambiaje?
 
Hayuko tayari kuolewa..ili mradi unapewa mzigo we jilie tu..mengine yatajulikana uko mbele..ndoa sio kitu cha kuforce
 
Kuna rafiki yangu nae nilikuwa naongea nae jana ana the same story. Amedate binti for two years, ile anataka amuoe binti hataki.
 
Tatizo wanaume huwa mnasahau kuwa wanawake tunapenda taratibu, mkiwa mko desparate kuoa mnachojali ni kutaka kuoa tu bila kuwapa wenzenu muda.

Mpe muda mkuu.
 
Mmmmh!kmbe wanaume nao wanaforce ndoa mi nikajua wanawake tu ndo wanaoforce ndoa.
Iv ungejisikiaje kama angekua amekulia hela zako nyingi then akakwambia ckutaki na tunda hujala
 
Kwa mkiwa mna spend time together ni lazima muwe mke na mume. Acha ushamba bwana.
 
Anataka umbandue na tigo.
Sasa wewe ameshakuona unatafuna papuchi tu pekeyake sasa ameshaona itakuwa sio tabia nzuri ukimuoa halafu awe anagawa tigo kama njugu nje ya ndoa.
 
Hapo jibu nimoja2 mpige mimba ila uwe unauhakika kuwa utamuoa usije kutuongezea masingle mother kitaa
 
Umejaribu mbinu za kivita ikashindikana?weka mimba kwanza
 
We sio mume bora kwa mujibu wa ndoto zake

Unatangaza kuoa huku unaishi kama maisha ya kuigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…