Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

Basi jipe Muda huku unazidisha caring 'wanawake wanapenda sana zawadi - ubunifu wa Kati wa sex -being romantic. Na ma -sapraizi mbali mbali. .then act like a gentleman .
Mkuu nabandua lkn shuda inabaki kuwa palepale kwamba utamu ule nataka niumiliki rasmi
 
ila kumbuka wahenga walisema kila likuepukalo lina kheri nawe huwezi jua anakwepa jambo gani pengine wana shida fulani katika familia yao so hataki akupe hiyo shida nawe kwenye familia yako.Kuwa na subra mke mwema utapata wakati ukifika
Ahsante sana kwa ushauri japo najaribu kupata picha namna ya kuyabeba hayo maumivu ya kumkosa maishani
 
Duuuh
 
Geeeezzz! ! Huyo ana hesabu zake na mtu mwingine mkuu -- don't waste your time
 
bado hujamfisha blaza.....wacha haraka piga mbunye hiyooo....bado hujakung'uta vema......akifika utaona....
 
Huyo hajakupenda toka moyoni kilichopo anataka kampani tu kwa muda.
Vizuri amekueleza ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…