Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,469
Tunaopenda haraka tabu tunayoEndelea kua nae usiforce kumuoa mambo yatajiset mbeleni
Tatizo sisi huwa tunapenda taratibu
Mkuu naogopa kumpa mtu ambaye hayuko tayari inaweza kuwa shida kwa mwanetu tukawa na ugomvi ambao utamuathiri mwanetuMpe mimba akili itamkaa sawa
Upoo??hyo avator ni ww?Tunaopenda haraka tabu tunayo
Mkuu mpaka leo namshangaa maana kuna ambao nimeshindana nao huko kwa sababu wali force kuolewaWanawake wa karne hii hawapendi kuolewa kwani wanaona kama watabanwa katika majukumu yao yasiyo rasmi, so kwa ushauri wa kibeach boy huyo endelea kugegeda kisha tafuta mke ambaye ana maadili , hapo kwa mke hakuna we kula tu raha zako kishkaji hata akikutoka ushamtafuna kinyama au sio mazee?
Upoo??hyo avator ni ww?
Mkuu nabandua lkn shuda inabaki kuwa palepale kwamba utamu ule nataka niumiliki rasmiWee endelea kumbandua tu mkuu --mpaka anyofoke ndio atakubali kuolewa
[emoji23][emoji23][emoji23]ata mimi nahisiDuh itakuwa ameficha Tablet ya mtu. .aise
ila kumbuka wahenga walisema kila likuepukalo lina kheri nawe huwezi jua anakwepa jambo gani pengine wana shida fulani katika familia yao so hataki akupe hiyo shida nawe kwenye familia yako.Kuwa na subra mke mwema utapata wakati ukifikaMkuu mpaka leo namshangaa maana kuna ambao nimeshindana nao huko kwa sababu wali force kuolewa
Pengine anasex kutoa upweke labda huna credit za kua mumewe...nawaza tu lakn[emoji848]Mkuu nabandua lkn shuda inabaki kuwa palepale kwamba utamu ule nataka niumiliki rasmi
Kuna wakati nilidhani ana test mitambo tu nikajaribu kumwambia kwamba mimi muda wa kuoa umefika kwa hiyo aniambie au kama vipi niachane naye nitafute mtu mwingine. Akasema it's okey kama naona ananichreewesha basi amenipa ruhusa nitafutr mwanamke mwingine wa kuoa and she was serious on it. Hapo ndo nilichokaEndelea kua nae usiforce kumuoa mambo yatajiset mbeleni
Tatizo sisi huwa tunapenda taratibu
Upoo??hyo avator ni ww?
Kama kawaida wanaume sisi ni ving'ang'anizi