Ninafanye nini nioe?

Tatizo unajiuliza sana kiasi kwamba na wao kuna watu wanakuja wanaonekana wapo serious wanachukua mzigo jumla huku wewe ukionekana kama hueleweki, kumbuka kupenda ni mara moja huu utamaduni ambao sio rasmi ambao tumejiwekea wa kukaa na mtu miaka 6 sijui unamsoma wakati mwingine unatugharimu pia mtindo wa kumtamani mtu kingono kwanza ndipo mengine yanafuata. Ingekuwa kabla ya kumtokea mtu unapata fursa ya kufanya kauchunguzi kadogo kisha unamtokea haya mambo yasingekuwa yanatokea.
 

Hahahahahah unamchunguza mtu miaka umekua kachero hahahhah kweli kabisa kama wewe unajiona huwezi mambo ya kujifanya FBI basi kamata mtoto fanya progress, wanawake wanataka waone maendeleo kwenye mahusiano, sasa baba miaka yote mitatu c lazima usaidiwe maana unageuka kachero sasa mtoto anakosa imani kama utakuja kumuoa kweli au bado upo upo unatumia tu ile kitu. Maana ile jitu inachoka wakati flani sasa kama hajapata mtu serious afu anaichajaza lazima akutene mkuu, unachoweza jufanya, mvalishe pete ujitambulishe kwao, then kaishi nae au laa basi tia mimba uanze kuhudumia hapo utakua umeahika nafasi
 
sasa we umeshaelewa huyu binti nia yake ni nini? unachong'ang'ani ni nini lakini? kwani demu mzuri kwako anatakiwa aweje ?na je ni wangapi wapo kama huyu demu wako ? mnajua wanaume nyie nawaonaga kama hakili kuna mda amnazo kabisa

Akhuuuuuuuuu we polepole jaman dah tunazo tena sana tu, mleta mada ndo ...........
 

ukitaka kuoa angalia na muombe Mungu mtu anayefanana na wewe. Sasa inaelekea unachagua watu wewe mwenyewe unavyowaelezea kama sio level yako mara mzuri mara graduate... Hivi hao hata ukiforce ndoa ukawa na mgonjwa au wewe ukaumwa watakuwa nawe kweli? Ikitokea hiyo kazi unayowalelea hadi wapate kazi zao huna na inabidi urudi kwenu au utafute maisha sehemu remote wataambatana na wewe? Sikatai kutaka hadi apate kazi yake ndo akubali kuolewa lakini hata kupelekana kwa wazazi ai kuwa committed. Oh sorry ila hizi nyakati zenu vijana.....
 
Subiri tu wakati wako unaonekana haujafika! Na hujapata the right woman
 
Ndege wenye tabia moja uruka pamoja.Bado wewe haujapata ndege unayefanana naye kitabia,Angalia usikosee njia maana unaweza kuwa mwanafalsafa.
 
saka mahela achana na ivo viduku alafu uyo demu mkali ungepiga mimba tu akizogoa tupa kule ukiwa na mkwanja wanakujaga wenyewe auto!
 
Mkuu mimi nakushauri usilazimishe mapenzi hata siku moja, watu wanakushauri et muoe haraka haraka.. mke sio Gari kwamba ukishanunua linakuwa lako... kama kweli anakupenda mtaenda pamoja na asilimia kubwa ya mambo mtakuwa mnakubaliana... hujazaliwa na mtu hivyo nakushauri tulia pangilia mipango yako akienda mwache aende... look for wat belongs to you, mary when you are ready to do so, dont mary as coward wanawake wazuri wapo kwa mamilioni..... get time to relax and go as per ur plans.
 

Jisevie binti aliyepata division 5.
Hawa mabinti wanaomaliza universities ni majanga. Bora wa kipindi cha nyuma kidogo, hawa wa sasa kitendo cha kumudu individual assignments tu, wanavimba kichwa na kuona wanaweza kila kitu.
Huu ujuaji unaathiri hata mahusiano kwa kushindwa kutambua nafasi zao pamoja na wenza wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…