Magufuli ameshaboa big time. Ila atashinda tu 2020. Si unawajua watanzania tulivyo? Kama kuna watu wanamshukuru raisi kwa kuwaletea kupatwa kwa jua, watashindwa kumshukuru kwa kuwaweka hai mpaka 2020?
Eneo ambalo ze uchwara anaweza kupoteza ni kwenye ubunge. Wapinzani wakijipanga vizuri, wanaweza kupata zaidi ya 1/3 ya wabunge wote. Likitokea hilo, ccm kwisha habari yake.