Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
1:mikutano ya Kampeni kwa upande wa upinzani itakuwa na hoja nyingi ya kuikosoa serikari.
2:Vijana wengi watahitaji kuonyesha hasira zao kwenye sanduku la kupigia kura wengi wa vijana hao ni waliofukuzwa Chuo,waliopo chuoni na waliokosa ajira.
3:Watumishi wa serikari,waajiriwa na wateuliwa kwa pamoja bila kusahau waliotumbuliwa watafanya yao kwenye sanduku la kura.
4:wananchi wa kagera,bukoba na kwingineko waliokumbwa na matatizo ya njaa wataitajii kuonyesha kwamba serikari haina shamba kwenye sanduku la kura.
5olisi kumwagwa kila kituo cha kupigia kura bila kusahau wanajeshi mitahani.
6:Nape,polepole na makada wengine wakikosa hoja za kuongea kwa Wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya uchaguzi.
7:Nguvu nyingi ikitumika wakati wa kampeni mpaka Siku ya mwisho wa Uchaguzi na matokeo yatakapotangazwa.
8:Mabomu ya machozi yatakuwa kama kugawa pipi kwa watoto siku ya uchaguzi na siku ya kutangazwa matokeo.
Hayo ndiyo niyaonayo 2020 Mwana Jf mwenzangu wewe Unaona nini hiyo 2020 .
ZERO IQ