Ninachokielewa na pia kukiamini.

Ninachokielewa na pia kukiamini.

SaintErick

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
95
Reaction score
61
Inakua inatokea sana wakat flan msichana kupendwa na washkaji weeengi sana. Lakin kwangu mim inakua ngumu sana kuamin kua washkaji lazima mgombane na kuwekeana beef za kijinga. Dem anaamua yupi wa kumpenda...Hakuna mapenzi ya kutumia mabavu.Mtu unaweza lazimisha kupenda usipopendwa. Asa unapomjengea chuki mwenzio kisa dem inamaana mtu unakua unatangaza kua hujui kutongoza au inakua nini???! kwanza kufanya hivo ni kumpa dem jina kinoma! coz kila akigeuka ataitwa kivingine sana. Oya unaejenga beef juu ya hili nini dhamira yako??! Unaejengewa beef pia unalichukuliaje suala hili??!
 
Saint it ain't cool for brothers to hate each just coz of a chick. Msamehe tu mshkaji akikua ataacha. Bros before hos my friend.
 
siku zote katika mapenzi, napendelea kuongelea uhalisia(i.e. real) na sio kile ambacho kingetakiwa kuwapo(i.e. ideal). kwani hata tusemeje kwenye maisha kitu kizuri ili tukipate ni budi tukipiganie.
mazingira ya watongozaji:
wanaume wanatofautiana kiuchumi, kiumaarufu, ki-uhendisamisti, kinguvu, kiumbile(ufupi/urefu) n.k.hivi vinatumika pia katika kum-assess mwanaume mbele ya wanawake. hizi ni changamoto zilizoko katika maisha yetu kila siku, ambapo unaweza ukawa na kigezo moja na nyingine hauna.jitu linaweza kuwa na uhendisamisti lakini domo zege, demu anam-rate kama asiye na confidence. wapo wenye sifa angalau mbili kuzidi.
mazingira ya mtongozwaji:
inatokea wanaume mnapokuwa wengi demu anajikuta yupo kwenye dillema, mwishowe ili kuepuka usumbufu anaamua kuangalia mwenye mfupa mgumu ndipo wanaangukia(fall in love). na wanyonge wanabaki tu wakilalamika bila msaada wowote,,.
kimsingi kitu kizuri hakiji bila jasho., inapobidi pigania tu kwani ndo uhalisia wenyewe., watu hawataki fair play.hata wana siasa wakiogopa virungu na mabomu ya polisi hawampati bibi harusi(uraisi).ni mtazamo tu jembe. ugomvi, chuki, wivu, fitina udanganyifu ndo sehemu ya mapenzi.kujifariji tu namaneno haitoshi. do something for her. Be strong enough to hold on. fight for the one you love. no pain no gain
 
siku zote katika mapenzi, napendelea kuongelea uhalisia(i.e. real) na sio kile ambacho kingetakiwa kuwapo(i.e. ideal). Kwani hata tusemeje kwenye maisha kitu kizuri ili tukipate ni budi tukipiganie.
Mazingira ya watongozaji:
wanaume wanatofautiana kiuchumi, kiumaarufu, ki-uhendisamisti, kinguvu, kiumbile(ufupi/urefu) n.k.hivi vinatumika pia katika kum-assess mwanaume mbele ya wanawake. Hizi ni changamoto zilizoko katika maisha yetu kila siku, ambapo unaweza ukawa na kigezo moja na nyingine hauna.jitu linaweza kuwa na uhendisamisti lakini domo zege, demu anam-rate kama asiye na confidence. Wapo wenye sifa angalau mbili kuzidi.
mazingira ya mtongozwaji:
inatokea wanaume mnapokuwa wengi demu anajikuta yupo kwenye dillema, mwishowe ili kuepuka usumbufu anaamua kuangalia mwenye mfupa mgumu ndipo wanaangukia(fall in love). Na wanyonge wanabaki tu wakilalamika bila msaada wowote,,.
kimsingi kitu kizuri hakiji bila jasho., inapobidi pigania tu kwani ndo uhalisia wenyewe., watu hawataki fair play.hata wana siasa wakiogopa virungu na mabomu ya polisi hawampati bibi harusi(uraisi).ni mtazamo tu jembe. Ugomvi, chuki, wivu, fitina udanganyifu ndo sehemu ya mapenzi.kujifariji tu namaneno haitoshi. Do something for her. Be strong enough to hold on. Fight for the one you love. No pain no gain

ishu sio ku-fight, ishu ni is she/he worth the fight anyway?
 
Back
Top Bottom