Ninacho Amini kuhusu Mapenzi ya Sasa..!!

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Mapenzi ya mekua shida sana hasa kwa wakati huu kwa vijana wengi... Wanaume wanalia kula kukicha.. wanawake ndio tabu tupu daily.

Nacho amini kwa mtazamo wangu vijana wengi sana hujihusisha na ngono na sio mapenzi ilihali hawajui ni nini wanakitaka kutoka kwa wapenzi wao.

Hapa ndipo matatizo yanapo anza na vijana kujiona ni bora kuchezea hisia za watu bila sababu ya msingi...kutokana na hayo huzaliwa majanga makubwa mawili toka pande zote KE na ME, wana wake huamua kua {mizinga material} na wanaume huamua kua {papuchi material}

hapa ndipo tunapo toa shuhuda mbali mbali kuhusu kusurubiwa na wapenzi wetu kila uchwao,mala vibamia,mala demu wangu ana caldela{ k } kubwa,mala bila pesa sikupi papuchi,mpango wa kando, k inamaji,cjui kukavu uko chini, na matatizo mengne mengi sana.

"Nacho amini ni kwamba,ukiwa mwanaume kweli ulie tairiwa polini,{sio na nesi} uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote kileleni unao,hata uwe na kibamia na demu awe na caldela atafika tu"

"mwanamke ni mtoto,umleavyo ndivyo akuavyo,mwanaume unanafasi kubwa sana ya kumshape ktk harakati za uchumba na atakua wife material tu"

"mwanamke lazima awe tayari kuingia ndoni,aonyeshe upendo,aoneshwe upendo pia,kileleni atafika,wife materia atakua,na watoto atakuzalia na kukuheshimu mumewe"

"kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono" vijana wa sasa tunajua ngono sana na hatufahamu chochote kuhusu mapenzi" ndio mana daily watu wanachezeana tu!

"tamaa,ubinafsi,kuto kujua majukumu yako ktk uhusiano,kuto eshimiana ndio misingi wa kuvunjika mahusiano mengi kwa sasa.

Nb: upendo ndio kila kitu ktk mapenzi,ukiwa na upendo mengne mazuri yanakuja tu.

Wapendeni kwadhati wapenzi wenu,tambueni hakuna alie perfect,kukoseana kupo,ombaneni mi samaha,samehe kwa dhati si kwa unafki,msipende kutafuta visa kila siku kwa wapenzi wenu,amini mtafika mbali sana..

Finito..
 
kWA HIYO WALIOTAHIRIWA NA MANESI KUWAFIKISHA WENZI WAO

KILIMA CHA MLIMA KILIMANJARO NI SHIDA!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani umetoa soko zuri...
Swali; je unadhani kizazi cha JK kinajali unayoyasema?
 
you are right ,whatever you have said here is of great important.
Tuibalishe mitazamo yetu na fikra kuhusiana na mapenzi,mapenzi bado yana nafasi ya kuwa chanzo kizuri na kikubwa cha furaha na mafanikio,wote wakaka kwa wadada tuoneshe na kutenda upendo wa kina kwa wapenzi wetu,its possible!play your part!
 
jibu ni kwamba wapo wanao jali na wasio jali hayo,ila bahati mbaya ya wengi wanao jali hukosea stepu na kutumbukia kwa mizinga&papuchi material hapo ndipo shda inapo kuja.
 
Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hamna stamina.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
you are right ,whatever you have said here is of great important.
Tuibalishe mitazamo yetu na fikra kuhusiana na mapenzi,mapenzi bado yana nafasi ya kuwa chanzo kizuri na kikubwa cha furaha na mafanikio,wote wakaka kwa wadada tuoneshe na kutenda upendo wa kina kwa wapenzi wetu,its possible!play your part!

its possible!play your part.!
 
Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hamna stamina.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================

unaisi kwa hali ipofikia kwa sasa hapa duniani hayo maneno unayo yasema yanawezekana.? Huwezi tatua tatizo kwa kulikimbia lazima utafute njia mbadala za kukalibiana nalo,hata maandiko yanadadiki zinaa ipo tangu enzi za mitume na ningumu sana kuishnda inaitaji maharifa sana.
 
kunatofauti kubwa kati ya jando la porini na hospitali..
dah kweli imani kitu cha ajabu sana, kupigwa mkasi bila bila dawa za kupunguza maumivu, kisu kimoja kwa watu zaidi ya mia, na mambo mengi ya ajabu huko porini eti kuwafanye wa porini kuwa bora zaidi, SI KWELI hata, ila ungenambia ile elimu ya maisha ya mahusiano itolewayo porini ni sawa na ndo kitu tunachokikosa kwa madokta wetu huku mahospitalini..
 
Mapenzi ya mekua shida sana hasa kwa wakati huu kwa vijana wengi... Wanaume wanalia kula kukicha.. wanawake ndio tabu tupu daily.

Nacho amini kwa mtazamo wangu vijana wengi sana hujihusisha na ngono na sio mapenzi ilihali hawajui ni nini wanakitaka kutoka kwa wapenzi wao.

Hapa ndipo matatizo yanapo anza na vijana kujiona ni bora kuchezea hisia za watu bila sababu ya msingi...kutokana na hayo huzaliwa majanga makubwa mawili toka pande zote KE na ME, wana wake huamua kua {mizinga material} na wanaume huamua kua {papuchi material}

hapa ndipo tunapo toa shuhuda mbali mbali kuhusu kusurubiwa na wapenzi wetu kila uchwao,mala vibamia,mala demu wangu ana caldela{ k } kubwa,mala bila pesa sikupi papuchi,mpango wa kando, k inamaji,cjui kukavu uko chini, na matatizo mengne mengi sana.

"Nacho amini ni kwamba,ukiwa mwanaume kweli ulie tairiwa polini,{sio na nesi} uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote kileleni unao,hata uwe na kibamia na demu awe na caldela atafika tu"

"mwanamke ni mtoto,umleavyo ndivyo akuavyo,mwanaume unanafasi kubwa sana ya kumshape ktk harakati za uchumba na atakua wife material tu"

"mwanamke lazima awe tayari kuingia ndoni,aonyeshe upendo,aoneshwe upendo pia,kileleni atafika,wife materia atakua,na watoto atakuzalia na kukuheshimu mumewe"

"kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono" vijana wa sasa tunajua ngono sana na hatufahamu chochote kuhusu mapenzi" ndio mana daily watu wanachezeana tu!

"tamaa,ubinafsi,kuto kujua majukumu yako ktk uhusiano,kuto eshimiana ndio misingi wa kuvunjika mahusiano mengi kwa sasa.

Nb: upendo ndio kila kitu ktk mapenzi,ukiwa na upendo mengne mazuri yanakuja tu.

Wapendeni kwadhati wapenzi wenu,tambueni hakuna alie perfect,kukoseana kupo,ombaneni mi samaha,samehe kwa dhati si kwa unafki,msipende kutafuta visa kila siku kwa wapenzi wenu,amini mtafika mbali sana..

Finito..
umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!
 
dah kweli imani kitu cha ajabu sana, kupigwa mkasi bila bila dawa za kupunguza maumivu, kisu kimoja kwa watu zaidi ya mia, na mambo mengi ya ajabu huko porini eti kuwafanye wa porini kuwa bora zaidi, SI KWELI hata, ila ungenambia ile elimu ya maisha ya mahusiano itolewayo porini ni sawa na ndo kitu tunachokikosa kwa madokta wetu huku mahospitalini..

mkuu kauli yangu ilimaanisha kua,kutairiwa polini nitofauti na hospitari nikilenga elimu itolewayo baada ya kutairiwa kule porini inawasaidia sana wale vijana,kuliko hawa wa hospitali.

SIKWELI kua wanaotairiwa porili wote wanashare nyembe na visu mkuu.kwa bahadhi ya makabila nilio shuhudia mimi kwa macho yangu walikua hawashei izo tools kila mtu na yake.
 
umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!

mkuu nilicho maanisha hapo nikua walio pata jando porini hua wanaelekezwa kila kitu kuhusu maisha ya mapenzi,na miiko wanapewa pia,tofauti na walio pata hospitali.ukitairiwa umewaliza ni kwenu,kuuguza donda,wengi wao ndio hawa wanao sumbua,usikurupuke kujitetea na usiwe na shallow mind kufikiria kwa kina.
 
Mbona mi wa kwa nesi halafu huwa unafika kwenye hicho kilele..?? Asitutanie huyo....

umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!

mkuu nilicho maanisha hapo nikua walio pata jando porini hua wanaelekezwa kila kitu kuhusu maisha ya mapenzi,na miiko wanapewa pia,tofauti na walio pata hospitali.ukitairiwa umewaliza ni kwenu,kuuguza donda,wengi wao ndio hawa wanao sumbua mitaani kutafuta mbinu mbadala.
 
Si ndio maana na mie nikashangaa

wanawake wengi sio wakweli,ni asilimia kubwa hawajawai kufikishwa kileleni,tambua kuna aina 2 za vilele, crital&g spot ,wengi wenu huishia kwenye io ya kwanza,na ninaimani hata wewe haujawai kufikishwa kilele cha g..
 
au broo unakabendera ka kuclean up.....? samahani kwa wale ma leigwanani wa Ar aka Chugaa!
 
kaka kweli umesema mapenzi ya saiv ni majanga maana ngono kwanza mapenzi baadaye
 
Back
Top Bottom