Usijali...
Huyo binti akichoka tabia yako ya wivu akakumwaga....utapona tu automatikale
Tatizo ukishalijua si unalithibiti???
Habari wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24..Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana tena sana. Mm ndo nliemtoa usichana wake.Nimemaliza masomo yngu ya chuo lakini yy nimemuacha chuoni.tatzo linalokuja ni kua nina wivu sana tena sana kitu kinachopelekea tuwe tunagombana mara kwa mara.Yaani anaweza akafanya kitu kidogo tu kwa bahat mbaya basi mm nanuna ata cku 3 yy mwenzangu anabaki kulia kila cku na kuomba msamaha tu. sio kwamba napenda hii hali ya wivu yaani najikutaa nanunaa tu ghafla ata kwa vitu vdo kuna muda uwa najitahidi niwe ata nachangamka hali iyo ikitokea lakini wapi yn nakua nimenuna tu..uzuri ni kua na yy anaifahamu iyo tabia yangu na anajitahidigi sana kua makini hackosee lkn akiteleza kidogo tu yn nanuna sanaa..nilikua natafuta ufumbuzi wke nikadhani labda kwasbbu nimemueka kichwani sana ndmn nakua hvo...nikajitahidi nitafute ata kimchepuko ilimrad nicwe naumiaa pale anapokosea kty kidogo lakini halii ndo iko hvoo....hv sasa hv navoongea nimenuna sina amani kisa mchana aliingia class bila kunitaharifu.... narudia tena..hali hii mm mwenyewe siipendii ila inanitokea tu...Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini
Paulo Sergio De Souz Kuna mwanaume kanuna hapa teh
Hmm!...Kinachokusumbua sio wivu..ni Kibri majinuni. Ushajua unapendwa ndo mana unapata 'jeuri ya kiume'..