Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,441
- 3,253
Usimhudumie akikuomba hela mwambie akaombe kwa mabwana zake, wanaume huwa hatususi papuchi kwa vile kaamua kutumika basi mtumie tuHivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.
Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).
Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.
Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.
Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa
Naombeni ushauri wenu wadau
Fact sana man, i will take this advice as my therapy,
Mmmh! Atauweza kweli huu ushauri mana jamaa anaonekana kakolea haswaBe a man!! Mwanaume huwa hamfatifati mwanamke ila mwache mwanamke akufate yeye!! Hiyo ndio principle ya uwanaume. Ikiwa anaona una umuhimu kwake hawezi kupitisha siku au masaa bila ya kutaka kujua uwepo wako kwake ila ukiona anakukaushia hata 3 days na wewe kula bati usimtafute wala usimpigie simu.Endelea na hustle zako!! Akikutafuta mpokelee simu kisha mwambie upo busy kidogo then kata simu.Usimtafute
Kumbe,,kama hivyo atulie eletewe magonjwaUja
Ujasiri wa kumpiga ngumi anautoa wapu wakati hammiliki na they are just doing it for fun...mbaya zaidi inaonekana jamaa hamgharamikii huyo demu kodi ya nyumba wala kodi wa meza achilia mbali mavazi na urembo wake.
Ujasiri wa kumpiga anautoa wapi, kiufupi tu wapo kwa ajili ya kutoana nyege zao tu nothing else
@cocastic WauweeeeeeeeeeehTena uwaambie ukweli, hapa wanajifanya wanaume wa shoka, ila huko nje sasa wanapigwa na mapenzi hadi wanakua makerubi. Unafiki tyuuh umewajaa bora wee umeweka wazi hapa.
HahaaUtakuta ww pamoja na hao mabwana zake mmeendewa Ngende na mpka mje mjitambue mtakua mnaogelea Gridini
NakaziaKumbe,,kama hivyo atulie eletewe magonjwa
Angekuwa anamuhudumia angeheshimika
Umeona seenNakazia
Akienda kwa bwana mwingine na simu hapokei[emoji23] ndio mana mtoa mada kachizika.Umeona seen
Angekuwa anahudumia ipasavyo wala asingeteseka,
Labda hapo bi dada alimwambia bwana kama hauwezi nihudumia niache niendelee na wanaonihudumia[emoji2442]
Hahahhahahahha atulie tu,awe mpoleAkienda kwa bwana mwingine na simu hapokei[emoji23] ndio mana mtoa mada kachizika.
Kinamkuta kitu chenye ncha kali😅😅 Hawa waume zetu Hawa ni hasaraHeheheheheheeeee..halooooooo!!!
Wazee wa "one man down mnaitwa huku"....Kuna mtu kinamkuta kitu..hahahahaha
Tena mnooo..🤣🤣🤣🤣Kinamkuta kitu chenye ncha kali😅😅 Hawa waume zetu Hawa ni hasara