Nina wazo la kutengeneza Mashine ya kufua umeme usioisha nguvu

American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
673
973
Habari wapendwa,
Nipo mbele yenu kuwapa taarifa hii nzuri.
Nimepata wazo la kutengeneza Mashine ya Umeme itakayoweza kufua Umeme, mfululizo bila kikomo, (Endless electricity) Wazo hili ni la uhakika, na kiasi cha umeme kitakachofuliwa ni kutokana na setting itakayopangiliwa wakati wa uundaji wa mashine hii, Ni umeme utakaoweza kutumika majumbani bila shida wala usumbufu wa bili.
Source kuu ya ufuaji wa Umeme huu ni Chuma.
Kwa aliye interest juu ya hili aniPM ili tuweze kujadiliana na kufanya project hii ya Uundaji wa mashine hii itakayocost wastani wa TSH mil 1.5

Mimi nina wazo sina Pesa ya Kufanyia hili wazo hivyo kwa mwenye uwezo tunaweza kuwasiliana na kufanya project hii kwa makubaliano maalum.
Mdhamini+mbagala+20170125_133051.jpg

Asanteni.
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
 
Mzee utawasha umeme wa nyumba kwa dynamo?
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
Una uhakika gani kama mzungu kashindwa!? Unadhani kila anachokijua mzungu na wewe umeshakiona?
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
Duh sie tz tuna shida kweli, badala ya kumtia moyo upo kwenye kukosoa tu
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
ficha mawazo yako ya kukatisha tamaa wenzio, wewe unataka afanye nini hasa, acha kufosi misifa
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
Kwani mzungu ndo nani?
 
Inawezekana kabisa.. Lakini wazungu hawawezi Fanya hiyo kitu kwaajili ya kuruhusu mzunguko wa biashara.. Ni sawa na kutengeneza gari linalo tumia maji
 
mzungu kasindwa wewe utaweza? usije ukawa una kawazo cha kutumia dynamo aliyoibuni mzungu ukajifanya umegundua kama wale wanaojifanya wamegundua redio station kwa kutumia sumaku na vifaa vya redio mbovu au wale wanaojifanya wamegundua kutengeneza gari au helcopter kwa kutumia spare za magari au bajaji nyingine?
Wengine wanahamisha receiver na transmitter za simu kwenye kandambili alafu wanasema wamegundua simu
 
Back
Top Bottom