Nina wazo la kununua counter book kwa bei ya jumla nizitangaze katika social media yangu

killer whale

Member
Nov 9, 2017
60
19
Habari zenu wadau
Hapa ninapofanya kibarua kuna store za bidhaa mbalimbali lakini nyingi miongoni mwazo ni madaftari (counter book).

Nimejaribu kumuuliza jamaa ambae anadeal na counter book za five star, amesema box moja ni Tsh 65000 mpaka 68000/=.

Na mawazo ya kununua hizi counter book kwa bei ya jumla kisha nizitangaze ktm social media na target yangu ni kuwauzia watu wa stationery, ofisi shule ama yyte atakaehitaji, naomba mawazo yenu juu ya swala hili.
 
zinakuwa ni pc ngapi kwa kila box?
Pia zinakuwa ni za ukubwa upi?
alafu tafuta bei specific achana na mambo ya kukadilia eti 65000 - 68000.
 
Habar zenu wadau,... Hapa nnapofanya kibarua kuna store za bidhaa mbali mbali lkn nyingi miongon mwazo ni madaftar(counter book).. Nimejarib kumuuliza jamaa ambae anadeal na counter book za five star, amesoma box moja ni Tsh65000-68000/=.Na mawazo ya kununua hizi counter book kwa bei ya jumla kisha nizitangaze ktm social media na target yang ni kuwauzia watu wa stationery, ofisi shule ama yyte atakaehitaji, naomba mawazo yenu juu ya swala hili.
Quire ngapi..tuchekiane nahitaji kukuungisha..unapatikana wapi.
 
Back
Top Bottom