Nina wazo hili la kuwezeshwa kibiashara

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Katika maisha Yangu Nina ndoto ya kutoa huduma... Hasa huduma ya usafiri!

So katika maisha Yangu napenda biashara zenye uhitaji wa lazima kwa watu..

Sasa kutokana na umasikini hasa katika familia zetu, sina njia yoyote ya kupata mtaji wa kununua chombo Cha usafiri hasa bajaji..

Wazo langu Sasa... Hapa Ninapokaa ninakaa na General wa jeshi la wananchi! Kambi Fulani..(Naficha kwa Sababu za kiusalama)

Nataka nimfuate nimuambie kuwa... Nataka kumsaidia kuwekeza na katika kuwekeza huko anunue bajaji anipe ndani ya miaka miwili ninauwezo wa kumpa milioni kumi na Nne... 14m.

Matumaini yangu General huyu hawezi kukosa zaidi ya 10m ndani... Ko ntajaribu kumshawishi ili aniwezeshe...

Ndugu zangu mnamchango gani juu ya Hili suala...

Nawasilisha.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Katika maisha Yangu Nina ndoto ya kutoa huduma... Hasa huduma ya usafiri!

So katika maisha Yangu napenda biashara zenye uhitaji wa lazima kwa watu..

Sasa kutokana na umasikini hasa katika familia zetu, sina njia yoyote ya kupata mtaji wa kununua chombo Cha usafiri hasa bajaji..

Wazo langu Sasa... Hapa Ninapokaa ninakaa na General wa jeshi la wananchi! Kambi Fulani..(Naficha kwa Sababu za kiusalama)

Nataka nimfuate nimuambie kuwa... Nataka kumsaidia kuwekeza na katika kuwekeza huko anunue bajaji anipe ndani ya miaka miwili ninauwezo wa kumpa milioni kumi na Nne... 14m.

Matumaini yangu hawezi kukosa zaidi ya 10m ndani... Ko ntajaribu kumshawishi ili aniwezeshe...

Ndugu zangu mna mchango gani juu ya Hili suala...

Nawasilisha.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Mkuu kua serious, naona wazo lako litaenda kufeli... Yaaani mtu akwambie mdhamini unamjibu umpe makaratasi ya certificate mwamba ukishindwa kurudisha achome Moto? Kwaiyo Utomatical utakua umemuuzia hayo makaratasi .

Kua serious kidogo mkuu Kama kweli unania nzuri na pesa za mtu tafuta mdamini naamini hiyo itampunguzia hata wasiwasi huyo mkopaji, lakn ukimpa majibu simple kwamba unamuachia certificate hatokupa ushirikiano katika hili mkuu.
 
Sawa Kaka nimeelewa kuhusu mthamini hapo... Wapo haina shida

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Katika Maisha usipige kabisa hesabu hela ya mtu hata kama unaona ana uwezo wa kiasi hicho. Unaweza kutoa wazo la biashara kwake lakini narudia usitegemee 100% maana utaumia sana, fanya hiyo kama option.
 
Hizo Title zisikutishe watu wanaishi kwa matumaini aseee we acha tu

Kutana na mimi unaweza hisi nina 100+ Barclays ila in reality niko na buku naipgia hesabu namna itavyontosha Mihogo mchana na usiku...

Acha kbsa Hayo mawazo Hela ilipo huwezi JUA hata kidogo labda utumie Uchawi... Pambana utafute yako na nina uhakika ukiamua unaweza Acha uvivu wa kifkra.
 
Mkuu Sasa cheti hata kikichomwa Moto siutaomba tu necta cheti kingine.kila la heri lakini
 
Hizo Title zisikutishe watu wanaishi kwa matumaini aseee we acha tu

Kutana na mimi unaweza hisi nina 100+ Barclays ila in reality niko na buku naipgia hesabu namna itavyontosha Mihogo mchana na usiku...

Acha kbsa Hayo mawazo Hela ilipo huwezi JUA hata kidogo labda utumie Uchawi... Pambana utafute yako na nina uhakika ukiamua unaweza Acha uvivu wa kifkra.
Fact Bro

Back
Top Bottom