Nina Wazo hili, hapa ndo mahala pake

Nina Wazo hili, hapa ndo mahala pake

Nasakadoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
343
Reaction score
169
Kwa kuwa siku hizi kuna WhatsApp ndo habari ya muujini siku hizi,sasa nataka ni create Group la Malavi davi na masuala ya mahusiano.
Huko tutaweza kushea Ideas za mahusiano,picha,videos,audios na vimbwanga vya hapa na pale bila kusahau na Exclusive issues za mambo haya,n.k.

Sasa basi kama uko Interested naomba uweke namba yako hapa au ni pm,ambayo umejiunga nayo WhatsApp ili tuwe kitu kimoja huko.
Karibu.
Ni watu 50 tu.
 
Mm nafikiri jambo la muhimu. Ingewekwa namba ya admn hapa alafu namba zetu tutakutumia kwa njia ya whatsup
 
pattttty…
namba ya Admin ni hii hapa…
0718 651 174.
 
Last edited by a moderator:
Namngojea miss atupie yakwake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom