duh unajibu kama unafanya kaz NACTEHakuna aliye kosa majibu bwana leta evidence tuone
Majibu wanatoa kupitia profile ya muombaji na ukikosa wanakuambia sababu za kukosa na kukushauri uombe tena Sema tatizo walilonalo NACTE ni kutopokea cm zao utapiga mpaka uchoke hawapokeiduh unajibu kama unafanya kaz NACTE
Namba wanatoa za ñn sasa hizoMajibu wanatoa kupitia profile ya muombaji na ukikosa wanakuambia sababu za kukosa na kukushauri uombe tena Sema tatizo walilonalo NACTE ni kutopokea cm zao utapiga mpaka uchoke hawapokei
Upon sawa bro yani wametoa second round without kutoa selection sasa wanafikiria nnHivi wafanyakazi wa Nacte wanafanya kazi kwa utaratibu waliojiwekea au kuna chombo kingine juu yao?
Watoto / wanafunzi wanafanya application, hawapati majibu na hakuna pa kuuliza ni kwa nini sijapata majibu.
Wanafunzi waliosajiriwa wanakosa namba za mtihani na pengine kuzipata ni kwa kuangaishana sana.
Hivi wanafanya kazi kwa msingi ipi? Ni watanzania wangapi wamelipa hela mtandaoni pasipo kuchaguliwa na pasipo kujibiwa?
Kama wewe ni mmoja wa waathirika wa tatizo hili, jitokeze tujadili kwa kina. Labda tukiwasema hapa watajirekebisha.
me pia nimeandikiwa hivyo so nipo njia panda tusaidieni please.You have made 5 Choice(s) out of 5 Now Wait for Selection NA OK
Vp wakuu niendelee kusubiri au
Punguza dharau we kiumbe na maneno yasiyo na uungwana kwa wenzio. Wewe nahc ndo wale walioitwa vila........... kwakuwa kama unaelimu basi haijakukomboa na hujui maana ya kuelimika.mleta mada ni boya kichz......yawezekana ndo wale wanaopitia njia za panya ambao hawana sifa wanafukuzwa vyuoni baada ya nacte kuanza kuhakiki.....analeta mada ya ovyoooo kabisa
kweli kbs nimeaply dip ya Elimu hakuna jibu profile iko vile vileNi kweli kuna baadhi ya watu yani wa diploma kwenye profile zao hawajaambiwa chochote profile iko vilevile kama alomaliza kuapply sa hiv... hvy inamanisha hawajatoa majib mpaka sasa
si umeambiwa usubiri,unataka sisi tukushauri nini ?basi usisubiri nenda chuo!You have made 5 Choice(s) out of 5 Now Wait for Selection NA OK
Vp wakuu niendelee kusubiri au
msamehe burePunguza dharau we kiumbe na maneno yasiyo na uungwana kwa wenzio. Wewe nahc ndo wale walioitwa vila........... kwakuwa kama unaelimu basi haijakukomboa na hujui maana ya kuelimika.
NAFIKIRI NACTE WAMESHINDWA KUFANYA KAZI YA UDAHILI WA WANAFUNZI,KWASABABU NILIOMBA TOKA MWEZI MACHI MPAKA SASA HAKUNA JAMBO LOLOTE LILILOFANYIKA WANA KERA SANA KWAKWELI.You have made 5 Choice(s) out of 5 Now Wait for Selection NA OK
Vp wakuu niendelee kusubiri au