Nina wasiwasi na mke wangu...

Kwa upande wangu ,Nimekuona wewe ni Mjinga.....

Amini Kwa 100% kagongwa tena two times.....

Yaaani mke umemuoa wewe,unamlisha na kumtunza wewe na Mahari umetoa alafu ndugu wanampigia yeye wanamuhitaji badala ya kukupigia wewe ....hii mpya
 
Mkuu mwenye makosa ni wewe, inakuaje dada mtu anapiga smu kwa mkeo na kumpangia safari.? Kwanini usipigiwe wewe mwanaume ili utoe ruksa?

Hiiiiihiii (kwa sauti ya anko) hapo jamaa umetombewa
 
Mapenzi yanaumiza sana,mie kuna binti nipo nae kwenye mahusiano ni Mwaka sasa-anaishi na Dada yake huwa ananieleza hawezi kutoka kwai mwisho kutoka kwao ni SAA 12 jioni.Mungu sio mzee mkumba Jana nimekutana nae katika grocery moja mida ya SAA 4 usiku akiwa na majamaa 2.Badaye namuuliza ananiambia ni marafiki zake kwa kweli nilihisi kuzimia mwili wote ulikosa nguvu ,Leo siku nzima sijalala kwa kweli.
Piga chini
 
Huna chako hapo.
 
Ukiishi kwa hisia katika ndoa yako utazeeka mapema! Katika ndoa ni kuaminiana tu,na kutarajia yote!
Maadamu ulimruhusu akaenda uwe mpole tu usije kusababisha maafa.
 
Back
Top Bottom