elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
nipo dsm nina kila kitu cha ndani changamoto iliyopo sina hela kiasi cha kutosha kupanga chumba,japo ni mbagaizaji wa zile hela ndogo ndogo za kila siku,nimesoma accounts ,kama tunaweza share hela ya pango au una hela ya pango hauna vitu na tunaweza kuishi pamoja tushtuwane kwa +255658154647,hata kama ni msamalia mwema umeamuwa kunisaidia kijana mwenzio hata kwa kiasi kidogo niweze kupanga namba ni hiyo hiyo,ntashukuru Mungu awabariki +255658154647