Hili neno lilikua likinitatiza kwa mda mrefu...ni neno nalisikia sana hapa ofisini kutoka kwa vijana wadogo wenye ndoa, lakini sikuwai kujua wanamaanisha nini mpaka leo asubui hii niliposikia kijana mmoja hapa ofisini akimwambia mwenzake.....aah aisee jana VISA yangu ili expire mapema sana.....ila nilifanya makarateka nikamtoka tena......
Nikasogea nakutaka kuujua ukweli ingawa sikuuliza moja kwa moja ili nisionekane ---- (Mshamba) ..ndio nikagundua eti VISA wanayoiongelea ni ruhusa kutoka kwa mke wake..ehehehhe...du! nilichoka na nimecheka sana.
Sasa..hii ni hatari sana, ndoa za siku hizi vijana wanaishi kama wako boarding school...kila kitu lazima upate gate-pass, au utoroke. Sababu ni kutokuaminiana...pia vijana hawataki kukua....pia wanataka kuishi maisha ya starehe ,hawataki kubadilika.
Dada zangu kwa kweli mnafanya kazi kubwa sana kujaribu kuwabadilisha hawa waume zenu wa kisasa......Mimi nakumbuka jando nilifundishwa na babu yangu...mke wako akikuita au ukimuona anataka kuwa karibu na wewe saa yoyote ujue ana GENYE....na ndio wakati mzuri wa kumshung'ulikia akakojoa vizuri..(kufika mshindo)
Akaniambia...mke wako ukimtia vizuri ukamkojoza.....hawezi kukusumbua kabisa.
Nimegundua kwamba wanawake wanajitahidi kuonyesha dalili zote kuwa wana GENYE ila wameishia kupata maudhi kwa waume zao ambao wanaabudu company ya washkaji kwenye mabaa....na mipira ya ulaya.
Simaanishi wote.... ila wachache hao wajiangalie ili kuepusha matatizo kwenye ndoa zao......usijione mjanja umemtoroka mkewako.....ukaenda kukaa baa na washkaji....au unamdanganya mke wako alafu ruhusa unaiita VISA.
Kama utaendelea kutafuta VISA ya kumtoroka mke wako......basi akipigwa MBUPU nje usimlaumu mtu au usikimbilie JF kuomba ushauri.
JARIBU KUMKAZA MKE WAKO VIZURI AKAKOJOA UONE KAMA UTAOMBA VISA,, yeye mwenye atakua anakuruhusu.