Nina-unlock blackberry

mose_nd

Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
20
Reaction score
11
Naamini kila mtu yupo salama kabisa.

Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.
 
Naamini kila mtu yupo salama kabisa.

Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.

Jamaa yangu fafanua kidogo yaani B/B yako unaweza ingiza ofa ya Cheka Voda au Extreme 450/ km cm zingine?
 
Jamaa yangu fafanua kidogo yaani B/B yako unaweza ingiza ofa ya Cheka Voda au Extreme 450/ km cm zingine?

Ninaweza kuifungua ikawa inakubali line za mitandao yote, just in case BB yako imefungwa kwa mtandao mmoja.

Ila hata hivyo, siku hizi kuna bundle ya sh. 1000 kwa siku ambayo inaweza kupunguza makali kidogo, japo ni more expensive on the other way around (1000 X siku 30 =30,000) ukilinganisha na kulipa kawaida ambayo 17,500 tu.
 

ujasema mkuu kama unaweza weka kifushi cha 450 na kikafanya kazi au hujawai jaribu hiyo kitu..
 
Naamini kila mtu yupo salama kabisa.
Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.
we tupia hapa mautundu mkuu.. Utalipwa kwa post yako kuwekwa STICKY! over
 
Naamini kila mtu yupo salama kabisa.

Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.

Je, unataka kufungua simu yako blackberr? ndiyo maana unaweza kutembelea tovuti hii UnBBLock.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…