Nina Tshs 300,000 - 350,000 nataka simu

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Sichagui sana lakini haya ni kati ya yale nitakayoyaangalia zaidi
Android angalau 4.0 (Ice cream Sandwich)
Camera angalau 5mp
Display screen kuanzia 3.5 - 4.5 inch
Niko Dar, mwenye hilo deal ani PM tafadhali

Note; Sipendi Nokia na BlackBerry
 
nenda mitaa ya posta ;ukiwa posta unaangalia crdb bank upande wa kushoto wa bank kuna barabara nenda mita km 30 kulia mwa hiyo barabara utaona duka wanauza sumsung mbele ya hilo duka kuna mlango ingia ndani kuna duka la simu wanabei nzuri niliwahi nunua sumsung galax min 2 kwa chini ya laki 3 wkt wengine walitaka laki tatu na nusu
 
Niko Arusha naja Dar tar 4 March. Nina Xperia Arc. 4.2 inch screen ICS 4.02. camera 8mp ni fast kama comet. silver in color. nyembamba kama sim card ila pana na very sharp display.
 
Back
Top Bottom