nina tatizo wanajamvi

mafia boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
268
Reaction score
82
mie ni kijana ambae nina miaka 26 sijaoa ila nina mpenzi ambae tupo mda mrefu,na kwa bahati mbaya au nzuri
mie nakua nae mbali kwa mda mwingi saana yaani mi nipo zanzibar yeye yupo dar,nashukuru tunaishi vizuri na sijaona kasoro za kua mbali kwetu
tatizo niliokua nalo ni kwamba mimi napenda sana kupiga punyeto,najitahidi kila njia ili niache,mchana nitafanya mazoezi,kusoma vitabu,au kuperuzi internet hapa na pale ila ikifika mda wa kuenda bafuni hapo kazi ndipo
itapoanzia au kama nikisalimika bafuni basi hata kitandani nitaimalizia
so naomba msaada wenu hii inatokana na nini na vipi nitaacha kabisa maana kila nikijaribu nahisi nashindwa
 
Ni kweli epuka kuangalia movies za ngono. Na zaidi jipe tiba ya akili. Jiombee kwa imani yako na Mungu atakusaidia.
 
Pole mkuu...nina wasiwasi muda huu ndio umetoka kushusha cha mtoto sabuni....fuata ushauri wa juu hapo
 
Fanya mazoezi hapo ngazi mia au viwanja vya mnazi mmoja acha ufala huo
 

Wala usiache.its very health.Achana na desturi Za vasco dagama
 
Mkuu nakupa sana pole maana kati vitu ambavyo ni adui wa karibu mno kwa mwanaume kimojawapo ni punyeto mtu wangu! Itakufanya ukifika kwa shemeji umchafue tu na katu hutaweza kufanya mapenzi yenye tija kwa shemeji yetu! Mi ningekushauri kwanza fanya mambo yafuatayo!
1. Acha kuangalia picha za kujamiana maana pindi uangaliapo zinakufanya homoni husika kwa aajii ya kujamiana zizalishwe so huwezi tu kuishia kwenye kuangalia lazima utake kutimiza na kutimiza kwenyewe ndo punyeto kama yeye hayupo karibu
2. Jambo la pili angalia uzito wa jambo lenyewe...kweli mkuu uwe unamchafua mpenzi wako wakati huo huo wengine wanamafnya anjiskie anaelea mawinguni kama ni mimi sifanyi punyeto kamwe. Unajua mboo husinyaa sana na kukosa ile nguvu ya asili ukiwa mfanya punyeto na kudinda kwake huwa ni kwa muda mfupi baadaye kidogo inasinyaa na huwezi tena kuiamsha!
3. La mwisho fanya maamuzi ya kuacha kabis tafuta msichana maana labda huna unageresha tu mkuu! Wanawake wapo ili tuwatumie so achana na kiganja chako tafuta mwanamke.
 
Ni kujiendekeza tuu, kama ukiamua kuacha unaacha mara moja.
 
Suluhu ya tatizo lako unalo wewe. Kama ulivyoanza kupiga nyeto unaweza kuacha. Hivyo hakuna dawa wala nini bali wewe mwenyewe kujiamini na kuachana na kujichafua na kuharibu mstakabali wako. Siku akikufuma utaacha lakini hutakuwa naye tena.
 
Uswazi wanakwambia hiyo ndo ngono salama iliyobaki.Unamvuta Beyonce unamkamua kihewani hewani pole sana.Hayo matatizo tulishapitia cha kufanya wewe funga ndoa na huyo binti tatizo litaisha
 
Hebu fikiria kama ukipiga punyeto unakufa, then acha kwasababu utakufa, naamini utaacha
 
Wala usiache.its very health.Achana na desturi Za vasco dagama

Yeye anataka kuacha...wewe unaendelea kumpa moyo wa kuendelea. Sasa huu sijui ni ushauri au upotoshaji??? am puzzled
 
Ukweli ni kwamba mwanaume anayejiamini hufanya mapenzi na mwanamke na wala si mikono yake.
Jiambie nafsini mwako kuwa hilo si sahihi kama ilivyo mambo mengine mengi tu ambayo huwa washindwa yafanya kwa kuwa si sahihi.
Jitahidi uepushe mawazo ya ngono na kuyapuuzia.
 
We mwite demu wako uishi naye huko, na uwe unamchapa bao kila siku. Ukifanya hivyo hutakuwa na nguvu za kupiga punyeto
 
Its complicated........ Pray, if you can.
 
wadau nashukuru kwa michango yenu ya kunipa moyo,nitajitahidi na nitahakikisha nitaweza,michango yenu wote mizuri na ilikua inanifurahisha sana maana kila mtu alitoa kwa stly yake ial mwisho lengo lilikua moja kwamba mimi mwenyewe ndio naweza kuamua,na natakiwa niwe na bidii katika kufanikisha kuacha hili jambo,nashukuru sana na next time hamtaniskia tena natafuta suluhu ya hili jambo bali mtasikia nishapata mtoto kama mkuu MZINGA alivyonishauri nimuoe bibie,najipanga panga mambo ya kikaa sawa inshaallah tutafanya fikra
 


Hongera kwa uamzi wako wa kuacha. na kama utahitaji ushauri zaidi karibu nitakushauri la kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…