Nenda hospitali.Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu nina tatizo la gout(miguu kufa ganzi na joint kuuma)ni dawa gani nzuri ya kutumia ili kumaliza kabisa tatizo asanteni kwa msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri nimeenda dar group nimefanya vipimo ndio nikajua kuwa nina uric acid 520 badala ya 480 niko natumia dawa (apron)kwa sasa japo mabadiliko yanakuwa madogo kidogoNenda hospitali.
Sent using my Nokia Torch
Subiri dozi iishe.Asante kwa ushauri nimeenda dar group nimefanya vipimo ndio nikajua kuwa nina uric acid 520 badala ya 480 niko natumia dawa (apron)kwa sasa japo mabadiliko yanakuwa madogo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Joint support katafutKama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu nina tatizo la gout(miguu kufa ganzi na joint kuuma)ni dawa gani nzuri ya kutumia ili kumaliza kabisa tatizo asanteni kwa msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alkaline diet ni aina gani ,kwa nyama sifanyi hivyo chakula changu kikuu ni ugali wali na mboga mboga na maharage wakati wa usiku na wakati mwingine mchanaEat a lot of alkaline diet.
Usile products zote za kiwandani,wanyama na fried.
Ukiweza fanya hivo kwa mwezi tu utaona mabadiliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pharmacy wakupe URICEL utumie utapona mara moja, ukiikosa nambie au ukiipata badae unambie matokeo nahitaji feedback.Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu nina tatizo la gout(miguu kufa ganzi na joint kuuma)ni dawa gani nzuri ya kutumia ili kumaliza kabisa tatizo asanteni kwa msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafanya hivyo leo jioni nitakupa mrejesho baada ya matumiziNenda pharmacy wakupe URICEL utumie utapona mara moja, ukiikosa nambie au ukiipata badae unambie matokeo nahitaji feedback.
vipi unaendeleaje,tunasubiri mrejeshoNitafanya hivyo leo jioni nitakupa mrejesho baada ya matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uricel hupatikana pharmacy gani Dar?vipi unaendeleaje,tunasubiri mrejesho
Tena sana ila nadhani mengi yanatengenezwa na haya haya madawa tunayotumia maana mi sikujua kabisa haya maswala ya uric acid nimeenda dr kanipa dawa na baada ya kuutja ugonjwa nimejikuta sasa ni almost victim wa the so called uric acid anyway najua Mungu ataniponya nitakuwa mzima kabisaSiku hz magonjwa mengi sana
Tunaishi vile tunavyokula...Siku hz magonjwa mengi sana