DeeJay TEE
Member
- May 2, 2021
- 23
- 12
Kwanza kabisa ondoa hofu, halafu chunguza tatizo, waone wenye taaluma yaoJamani ndugu zang kwem.......nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhahiri kusinyaa san na kuwa km wa mtoto mdogoo....naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vbya kuiona hii ali msahada wenu wadau
Ikisimama inakuwaje?Jamani ndugu zang kwem.......nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhahiri kusinyaa san na kuwa km wa mtoto mdogoo....naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vbya kuiona hii ali msahada wenu wadau
Inasinyaa muda wote mkuu ila kwenye show inasimama fresh tatizo liwake jua inyeshe mvua inakuwa imesinyaaInasinyaa wakati Gani?
May be ni kwa sababu ya baridi
Hapana mkuu liwake jua inyeshe mvuaa hali iko ivo ivoInasinyaa wakati Gani?
May be ni kwa sababu ya baridi
Iko fresh boss wngIkisimama inakuwaje?
Hpna boss itoke too kwenye hlii hii bcUnataka iwe kubwa? Utajiangaisha bure ndugu yangu, watu wenyewe washazoea matango. [emoji41]
Wewe unachotaka ni nini mkuu??Inasinyaa muda wote mkuu ila kwenye show inasimama fresh tatizo liwake jua inyeshe mvua inakuwa imesinyaa
Wewe unachotaka ni nini mkuu??
Iyo hali imekukumba sasa hivi au ndivo ulivozaliwa??
Kama inakua fresh wakati wa show na inasimama fresh na inakua kubwa sioni kama kuna shida labda kama hata ikisimama bado inakua ndogo vilevile(kibamia).
Uume mwa mwanaume unapimwa unaposimama na sio ukiwa doro mkuu.
Sio kweli ikilala doro haina kazi hiyo mkuu. Kuna nyingine ni ndogo zikilala ila ikisimama inavimba na kurefuka mno, ila sasa zipo na ndogo kabisa ambazo hata zisimame ni ndogo vile vile( ndo vibamia hivyo sasa).Mimi nitatofautiana nawewe, Kipimo kinaanza ikilala doro.
Sio kweli ikilala doro haina kazi hiyo mkuu. Kuna nyingine ni ndogo zikilala ila ikisimama inavimba na kurefuka mno, ila sasa zipo na ndogo kabisa ambazo hata zisimame ni ndogo vile vile( ndo vibamia hivyo sasa).
Kuna yingine (wengi), ni za wastani ama kubwa ikisimama inakaza misuli tu haiongezeki ukubwa wowote.
Hapana mtafiti tu mkuu.Samahani, je wewe ni dokta??!
Uko sahihi mkuuSio kweli ikilala doro haina kazi hiyo mkuu. Kuna nyingine ni ndogo zikilala ila ikisimama inavimba na kurefuka mno, ila sasa zipo na ndogo kabisa ambazo hata zisimame ni ndogo vile vile( ndo vibamia hivyo sasa).
Kuna yingine (wengi), ni za wastani ama kubwa ikisimama inakaza misuli tu haiongezeki ukubwa wowote.
Picha please tukuelewe vizuri.Jamani ndugu zangu kwema?
Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo.
Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali.
Msaada wenu wadau.
Kama ikisimama inakuwa na size nzuri. Inatosha usijipe stress. Kama una wife/mpenzi piga sana mashine, kunywa maji mengi 2 litres and above fanya mazoezi. Utaongeza mzunguko wa damu kwa kiasi.Inasinyaa muda wote mkuu ila kwenye show inasimama fresh tatizo liwake jua inyeshe mvua inakuwa imesinyaa